kwa wanandoa tu!

kwa wanandoa tu!

tatizo wanandoa wengi huwa wanashindwa kufungua / kuzungumza na wenzi wao.. mf. kuna mwingine anapenda kuwa rough wakati wa tendo la ndoa.. lakini wakiingia katika ndoa wanajidai kuwa kama wazee... wanafanya tendo la ndoa kama wanaogopana.. hapo lazima mmojawapo atacheat kwa kutafuta wa kumtosheleza...

swali kwenu wanandoa wanaume.... je yale unayomfanyia kimada wako au anayokufanyia ushawahi kuyafanya kkwa mkeo... hujui kwamba nae anapenda?
 
duh, sawa lakini ukiona kama anajisahau si unatakiwa umueleze ili ajirekebishe ndoa idumu au imekaaje hapo?
sometimes wake zetu wanajisahau sana
especially pale tunapobahatika kupata watoto
wengi wao wanakua tena hawajiangalii angalii kama zamani,penzi lote huhama na kuamia kwa watoto,hutusahau sisi waume zao,
sometimes upweke ndio unatufanya wengne kutafuta faraja nje,japo tunakiri ya kwamba tunafanya makosa
 
ndio hapio wanaume pia wanapokosea na kuishia kuwalaumu akinamama...
Tamaa ndio zinasubua ndoa nyingi.

swala la wanawake kujisahau napinga kiasi fulani, maana wadada wa siku hizi kwakweli wanajipenda sana.
alafu kama unaona mwenzi anajisahau si umueleze na pia uchangie kumuweka up to date.

kwa mfano, mwanaume anapenda mwanamke mwenye chain kiunoni, lakini hamnunulii. yupo radhi aifuate kwa kimada.
 
umeona ee! well said!
si kweli haya ni maneno ya wanaume kujustify matendo yao.
tuliambiwa ndoa ni kuvumiliana kufundishana na kukamilishana mnatakiwa mtambue kuwa mwanamke anapojifungua pia nae hutamani na wewe uwepo kumfariji na kumsaidia kazi ya ulezi ni ngumu na inahitaji busara kuendana nayo. sasa ukienda nje unakuwa umemsaidia nini au umeanza kuongeza matatizo hata huko nje nae akipata mtoto anaweza akawa hivyohivyo. cha msingi ni kumuelekeza mkeo kuwa amejisahau na anatakiwa kukukumbuka.anatakiwa kuwa msafi anatakiwa kuwa hivi na vile.
 
Tatizo wengi hulenga katika kuolewa na si katika ndoa...Hii inapelekea mtu kishaolewa baasi anajua keshamaliza kila kitu hata yale mambo muhimu katika ndoa husahau...
Tatizo lingine linalonipelekea ku cheat mie huwa ni kununiwa nuniwa...sio siri jamani nachukia wife anayenunanuna bila mpango

hapo kwenye bold nakubaliana napo..jamani sisi akina dada tujitahidi kuepuka tabia ya kununanuna kusubiri kubembelezwa na waume zetu. Kama alikuudhi au umeudhika na kitu chochote ongea na mwenzio muyamalize na hali ya hasira isichukue muda mrefu sana, hapo mkishazungumza yaishe na hapohapo amani irudi..yaani uhusiano utawaliwe na muda mwingi wa furaha na amani kuliko muda mwingi uwe ni chuki, hasira na kununiana...nimegundua wenzetu hawa huwa hawapendi suala hili la kununanuna.please wadada wenzangu.
 
THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL UTILITY!!!!!!!!! Baaaaaaaaaaaaaassss!

Yap..when Utility increase at decreasing rate..calls for Technological UPGRADE and NEW production TECHNIQUES..OTHERWISE the factory will shutdown & competitors will take over the MARKET!!!
 
ndio maana kuna kausemi kanasema "men are like bluetooth, he is connected to you when you are nereby, but searches for other devices when you are away....women are like Wi-Fi, she sees all available devices but connects to the strongest one"...sa hapo kwa kwa wanaume nanyi ukihisi mkeo labda anapunguza mapenzi kwako, jua hauko strong, ni DHAIFU...jitahidi uwe STRONG ili awe connected kwako jumla sio kulalama tu kila siku ooh wanawake wanajisahau....! mjiangalie nanyi mnakosea wapi ili mdumishe ndoa zenu!
 
Mimi huwa nashangaa wanawakewanaowapa waume za watu mapenzi
hao wake zao ni wa nini? K
 
tatizo wanandoa wengi huwa wanashindwa kufungua / kuzungumza na wenzi wao.. mf. kuna mwingine anapenda kuwa rough wakati wa tendo la ndoa.. lakini wakiingia katika ndoa wanajidai kuwa kama wazee... wanafanya tendo la ndoa kama wanaogopana.. hapo lazima mmojawapo atacheat kwa kutafuta wa kumtosheleza...

swali kwenu wanandoa wanaume.... je yale unayomfanyia kimada wako au anayokufanyia ushawahi kuyafanya kkwa mkeo... hujui kwamba nae anapenda?

Jiulize inakuwaje watu wanakuwa faithful kwa gf zao lakini once wanapokuwa wife wanaanza ku cheat?
 
Tatizo wengi hulenga katika kuolewa na si katika ndoa...Hii inapelekea mtu kishaolewa baasi anajua keshamaliza kila kitu hata yale mambo muhimu katika ndoa husahau...
Tatizo lingine linalonipelekea ku cheat mie huwa ni kununiwa nuniwa...sio siri jamani nachukia wife anayenunanuna bila mpango

Hii ndio sabubu kuu ya kucheat kwa wanaume wengi, zaidi naona baadhi ya wanawake Wakishaolewa wanasahau mbinu zoote alizotumia kumpagawisha mwanaume ili amuoe, mwishowe unamuona mkeo Kama rafiki tu!! Kwa stail Hii huwez acha kucheat hasa ukizingatia wanawake wengine kibao wapo mna flirt kila siku.
 
Jiulize inakuwaje watu wanakuwa faithful kwa gf zao lakini once wanapokuwa wife wanaanza ku cheat?

nahisi huwa wanaogopana.. na kuhisi kuwa wanatakiwa kuishi kibaba na mama tuuuu... kumbe wanatakiwa kuendeleza yale yote yalokuwa yanadumisha uhusiano wao..
wengine wakishafunga ndoa outing zinaisha, zawadi, surprise vyote vinaisha... kwanini mwenzio asicheat???
 
Shetani kwa kusingiziwa tu ni balaa hakuna kitu hapa zaidi ya umalaya tu
 
muziki wa aina moja unachosha masikio!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
1. nimependa hiyo signature yako
2. Kinachoboa ni ile kurudia rudia kila mara kumweleza hayo matatizo.... wakati anajua ni wajibu wake, wengi wanatumia mtoto kama kinga ya kukwepa majukumu ya msingi. sisi wengine mabishano hatujazoea.

Umeongea jambo lamsingi, kwanini ubishane na mke kwa jambo ambalo lipo wazi?? Wanawake wanajitakia wenyewe waume zao kucheat. sana sana utakuta mwanaume anacheat na mtu mmoja tu. Wanaocheat kwa wanawake zaidi ya mmoja huo ni umalaya!
 
nahisi huwa wanaogopana.. na kuhisi kuwa wanatakiwa kuishi kibaba na mama tuuuu... kumbe wanatakiwa kuendeleza yale yote yalokuwa yanadumisha uhusiano wao..
wengine wakishafunga ndoa outing zinaisha, zawadi, surprise vyote vinaisha... kwanini mwenzio asicheat???

Fanyeni mabadiliko upande wenu na haya yote yataisha.

Wamama wetu waliwezaje unakuta mama yupo bize ana watoto nyumbani kama 6 na anaenda shambani kulima kama baba anavyolima akirudi anaanza kutwanga mpunga hadi unakuwa mchele. Na bado ana keep ndoa yake intact miaka inakwenda. Lakini siku hizi mkishakuwa bize kidogo tu baaas housegirl anakuwa in charge...
 
Back
Top Bottom