Kwa wanajamii wote tafadhali!

hahaaa!!

nahisi badala ya sasa, utasema thatha!!

thatha eli79! mi thina ela bebii! thiko vizuri leo! thi unajua tena thiku hii mbaya! hahahaaaa!!

Ha ha haaa haaaaaaaa haaaaaa
 
mkuu mi sizingui...

Evelyn Salt alinitamkia wazi ananitaka kimapenzi...

nimemkubalia anajirusha rusha tu

nimechoka walahi

halafu na wewe ukasema unamtaka kisiasa.. ndo maana Evelyn Salt anagoma na kukimbilia kwangu bana!

hebu wekaneni sawa kwanza... leo ndo mwisho wajina nyie!

usipomaliza mgogoro wako chumvi, namuoa mimi kwa nguvu!
 
Last edited by a moderator:
Nimekumiss balaa kama mishikaki ya k...pa ...ba...!
ahaaaa ile mishikaki ni noma ...kuna siku nilienda dar nikapita pale sijaona kile kijiwe bana....ahaa life bana...thax for your love though! miss u a lot ...wape hai wana kigodoro
 
halafu na wewe ukasema unamtaka kisiasa.. ndo maana Evelyn Salt anagoma na kukimbilia kwangu bana!

hebu wekaneni sawa kwanza... leo ndo mwisho wajina nyie!

usipomaliza mgogoro wako chumvi, namuoa mimi kwa nguvu!



mkate hadharani ndo itakua suluhisho...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…