acha makutano bar, kuna post nyingi sana pale buzu! ukifika pale buzuruga kama unaelekea nyakato mecco, kuna kituo kinaitwa barnaba... nakwambia hapo ukifika hata ukasema kichuriii kwa bahati mbaya, wanajaa!
mamii ukishashiba vizuri, naomba upite nyasaka mji mpya uwape salam wakulu wangu...!