Kwa wanajamii wote tafadhali!

Aiseee! Mnapenda tamthilia sana.
 
Kushukuru, Kusameheana ndio mpango mzima, pamoja na upendo pia.

Kweli kabisa kuna watu wana pesa nyingi sana lakini hapa tunapoongea wapo hospitalini, chakula wanapata kwa njia ya mrija/mirija
Sasa wewe uliye mzima kwanini usishukuru kwa pumzi murua

Maneno makubwa sana hayo

Ingawa mimi nimechelewa kujibu, ila sitosita kukutakia usiku mwema wa siku ya leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…