Hivi kumbe ni classmate wangu unamzengea??! Endelea tu mkuu. Ujue kuna title nyingine ukishajipa bana hata kutongoza huwezi, mfano, Besti, classmate, bff, n.k. ndiyo zone alonieka Smile!
Naaaam, charming vip mgomo wa daladala huko Mwanza?
Hivi kumbe ni classmate wangu unamzengea??! Endelea tu mkuu. Ujue kuna title nyingine ukishajipa bana hata kutongoza huwezi, mfano, Besti, classmate, bff, n.k. ndiyo zone alonieka Smile!
Endelea mkuu mie nije nile wali bana...
Mie napendaga kunywa kichuri balaaacharminglady naomba uwe na mchana mzuri wenye ingredients tamu kama kichuri na ugali wa muhogo!
kuna watu wanadiss sana hii menyu yetu..!!!
Mie napendaga kunywa kichuri balaaa
umeona sasa Honey Faith.. kichuri ni kitam sana!
kinaburudisha ... unarelax sana!
jamani jaribuni hii kitu! ntakutafuta mamii tukinywe kwa mara nyingine!
Any time unakaribishwa
mi na wewe forever baby!Hivi kumbe ni classmate wangu unamzengea??! Endelea tu mkuu. Ujue kuna title nyingine ukishajipa bana hata kutongoza huwezi, mfano, Besti, classmate, bff, n.k. ndiyo zone alonieka Smile!
Endelea mkuu mie nije nile wali bana...
bikra hawezi kuwa na mimba banaHuyo huyo..hivi hata akiwa wa kiume si ameozwa au? maana ni kijana mwenye jinsia ME ndio kaoa!
Usisahau kuniletea kadi tu sharti harusi ifanyike Dar na usiwe na :baby: tumboni!!!
bikra hawezi kuwa na mimba bana
Smile bado yupo kijitonyama mwisho!
unajua huyu binti ana aibu sana kama Heaven on Earth! hawezi kusema mbele za watu!
she is not a :blabla: woman..! sio kama koku bana! kila wakti ni:dance:!!
ahaaaa ile mishikaki ni noma ...kuna siku nilienda dar nikapita pale sijaona kile kijiwe bana....ahaa life bana...thax for your love though! miss u a lot ...wape hai wana kigodoro
je yangu hujaipenda ? teh teh