Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 492
Habari jenyu bhanaa!!
Wana JF nina imani sote tupo poa, kwa wale wenye matatizo mungu awape faraj.
Binafsi nimefurahishwa na cahangamoto mbalimbali kutoka kwa wenye busara hasi na chanya zilizomo ndani ya jamvi hili ambapo kwa kiasi kikubwa ni shule tosha. na kutufanya tunaonekane kama wana ndugu. Sasa wazo langu ni hili, sote kwa pamoja kupitia kwa moderatos wetu wa jamvi hili nilikuwa napendekeza uwepo utaratibu wa kufanya jumuiko la wanajamvi wote kila mwisho wa mwaka (ila iwe hiari na si lazima) ambapo mijadala mbalimbali inaweza kuendeshwa kama njia moja wapo ya kuongezeana maarifa na kujenga mahusiano ya karibu zaidi.
Kongamano hili linaweza kufanikishwa na sisi wadau wenyewe kwa kutoa michango ya kugharimia kila kitu. je, wanajamvi mnasemaje kwa hili?
Naomba kuwasilisha.