Kwa wana jf wote.

Kwa wana jf wote.

MMU na Chit Chat itabidi wakae pamoja....tena mita kadhaa toka jukwaa la siasa maana hawachelewi kurushiana ngumi....

umeona enh?
yani siye wa chit chat na MMU tukae viti virefu wale wa siasa wakae vya kiofisi ofisi!
vinginevyo lol!
 
Dah, mie mwenyewe naona hili suala ni la msingi sana, naomba tumtie shime mleta mada kwani inaonekana ameifanyia kazi zaidi. Cha msingi hapa tujaribu kuchanganua ni jinsi gani lifanyike> akina Mtambuzi,Ritz, Bujibuji na wengine wote magwiji wa humu tunaomba mchangie hapa.
 
naunga mkono hoja ya kuhudhulia ukatumia jina lako la ukweli ila ukaficha ID yako.
 
Inawezekana kabisa kuhudhuria na tukaendelea kuwa invisible......... kwenye kujitambulisha kila mtu atatumia jina lake la ukweli maana si ajabu utakuta watu kibao wanakufahamu. kama mimi nikijitambulisha ni Jenista Haule mtajua kuwa ni FP?

kweli, me najitambulisha kwa jina langu halisi kama kawaida...SONGELA MBELE MBWANO(MFANO)
 
Ni jambo la msingi si la kubezwa!
 
watu wengi wanajuana humu,ila kwa wale ambao hawapendi wajulikane wanaweza kuja na wasijitambulishe id zao
 
hapa tuko watu tofauti kazi tofauti ,mawazo tofauti ,fikra tofauti ,itikadi tofauti ,si busara kumjua sura mtu mtambua kwa mchango wake kwa jamii endapo mmeona hugo chaves anafaa mahali fulani mpm .maadui ni wengi kuliko marafaki rejea dr ulimboka alivyotekwa kirafiki kabsa tupate kinywaji .
 
kweli, me najitambulisha kwa jina langu halisi kama kawaida...SONGELA MBELE MBWANO(MFANO)

na mimi nkaweka kangu halisi,..VANtholomeo MEDichades nani atanijuaaaa
 
umeona enh?
yani siye wa chit chat na MMU tukae viti virefu wale wa siasa wakae vya kiofisi ofisi!
vinginevyo lol!

snowhite mtanionea mimi kwani sina mpaka hutwanga kote kote huanzia siasan CC ni home na hapa MMU
 
Last edited by a moderator:
The Idea is very good but I suggest One should help me to answer this simple qns; What more will we get/benefit as a result of annual meeting that we are not getting now? Do you agree with me that the invisibility character offered by JF to its member is one of its strongest stand? if yes, why should we break this pillar? Have you considered the way JF members are scattered all over the world? if yes, will the costs be realistic and attainable to all members?
 
Naomba tuendelee kuchangia kwani comments zenu zinatia moyo, at the end of tha day tutakuja kufanya conclussion. go ahead peoples.
 
Wadau mi ni mwanachuo mnaonaje aka kaboom kangu nkikachapishia flana za jf c mtanipa support?
 
kumbuka serikali inaichukulia JF kama chama hatari cha upinzani kinachoendeshwa kinyume cha sheria, jamaa zake Ulimboka watafanya kazi yao na kuna watu wataumia. Ila kama itawezekana kujitokeza kimtindo kama avata yangu ilivyo, ita kuwa salama zaidi.
 
hapa tuko watu tofauti kazi tofauti ,mawazo tofauti ,fikra tofauti ,itikadi tofauti ,si busara kumjua sura mtu mtambua kwa mchango wake kwa jamii endapo mmeona hugo chaves anafaa mahali fulani mpm .maadui ni wengi kuliko marafaki rejea dr ulimboka alivyotekwa kirafiki kabsa tupate kinywaji .

Mimi sijakusoma unamaanisha nini!! Labda ungefafanua zaidi kwani hapa kwa mjibu wa mleta mada ni kupanuana upeo na kujenga mshikamano zaidi.
 
Back
Top Bottom