Rahajipe
Senior Member
- Oct 29, 2012
- 165
- 63
kumbuka serikali inaichukulia JF kama chama hatari cha upinzani kinachoendeshwa kinyume cha sheria, jamaa zake Ulimboka watafanya kazi yao na kuna watu wataumia. Ila kama itawezekana kujitokeza kimtindo kama avata yangu ilivyo, ita kuwa salama zaidi
Jaslaws: Hapana shaka wazo lako ni zuri, ila linaweza kujenga hofu ya kile kinachoelezwa hapo kwenye blue. tuingie pale ki kawaida zaidi bila kuonesha indication yoyote.
]Wadau mi ni mwanachuo mnaonaje aka kaboom kangu nkikachapishia flana za jf c mtanipa support[/COLOR]?
Jaslaws: Hapana shaka wazo lako ni zuri, ila linaweza kujenga hofu ya kile kinachoelezwa hapo kwenye blue. tuingie pale ki kawaida zaidi bila kuonesha indication yoyote.