Kwa wana jf waliowahi kula ban

zangu ni..
mchambuzi
ole
mtot wa mkulima
fairplayer
fd
........niendelee?
 
and i thought mie kuwa na ID nne is a bit naughty kumbe kuna ma alwatani wa id humu mnh...
 
you go and visit other houses that welcomes you with both hands.......you tell them why they locked you out of their house.....NILIWAHI KULA BAN KWA KUSEMA .....HALI HALISI NI KUBENEA......SO NIKAPITA INTO OTHER HOUSE ...THEY WELCOMED ME AND ENJOYED A LOT THE LIFE OUT THERE...!

ulikula ban ili uwe unajiheshimu. Unajipotosha kwa kufikiri Hali Halisi ni kubenea. . . .
 
nilikuwa naitwa MARYTINA nikala BAN la maisha
kwa sasa naitwa MERYTINA thanks nimepata ushirikiano uleule
 
Hello wana Jf
Nilikuwa naomba kushare na nyinyi hisia zenu, hasa kwa wana JF ambao wameshawahi kufungiwa(BAN) humu jamvini :-
nina mambo machache nataka kujua kutoka kwenu
1. ulikuwa unajiskiaje ulipokua ukiiingia kama guest user wakati ni member
2. ulikuwa unajisikiaje unapokua na kitu, jambo, taarifa muhimu unataka kuiibandika lakini unajikuta upo kifungoni?
3. ulikuwa unajisikiaje unapoona Member mwingine anakuchokoza kwa makusudi na unatamni kujibu lakini unajikuta upo jera?
4. ulikuwa unajisikiaje pale ambapo member wenzako walipokuwa wanaku miss na kufikia hata hatua ya kukuombea ufutiwe adhabu na Mods?

Asanteni natumaini kusikia hisia zenu, hata kwa wale ambao hawajawahi kupewa BAN watajisikiaje siku ambayo watapewa BAN?

Ambaye hajapata adhabu co rahisi kuhisi uchungu.
 
Huko ndo usiseme kabisa...teh teh teh....

Haya here we go....

Neemah
queenkami (lol)
Sasha Fierce
Carrie
Da Huu
Mwantunu
Tabia
Hidaya
Jazina
Melanie
Monique
Shinunu
Manka
Juliet
Claudette

Hata hii ilikuwa yako,naona umesahau Njabu the Dude
 
Back
Top Bottom