Kwa wana jf waliowahi kula ban

Mmh nafikiri hii ni bad experience japo bado hayajanikuta maana hata ukiingia kwa ID mpya haufaidi sababu utaonekana kama mgeni tu,nyumba yako mwenyewe halafu uingilie dirishani?Ila kuban kunafungia ID fulani tu but sio maoni ya mhusika
 
Naona kuna mixed feelings Nasubiri ban, nione :A S 13:
 
Sijala BAN muda mrefu sana! Nahisi MOD wananiogopa....hahahahahahahaha natania wazee!
 
niliwahi kupata ban kwa kuporomosha povu la kutosha kwa ntu mmoja humu ndani..... i didnt feel much pain kwani nilijua nimekwaza, but later niliomba msamaha nikafunguliwa

Ban was not a bad experience, it is worth experiencing ili ujue inafeel aje

Ban pia ni kichocheo cha multiple IDs humu jamvini
 
Sidhani kama kuna mtu aliyewahi kula ban nyingi kuliko mimi humu JF. Na sidhani kama kuna mtu mwenye IDs nyingi kuliko mimi. Anayedhani anazo nyingi kunizidi natoa changamoto kwake. Ajitokeze aorodheshe IDs zake zote nami nitaorodhesha za kwangu zote halafu tuone nani ana nyingi zaidi. Any takers? Lol
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa

mkuu nadhani wewe, MS na Masa mna rekodi nzuri na kama nilivyosema hapo juu... Ban inachochea multiple IDs and it is evident
 
Mimi nilisikia hamu ya kuporomosha mitusi kwa Mods,hasa ukizingatia sikujua ban yangu ilisababishwa na nini ?
 
Sidhani kama kuna mtu aliyewahi kula ban nyingi kuliko mimi humu JF. Na sidhani kama kuna mtu mwenye IDs nyingi kuliko mimi. Anayedhani anazo nyingi kunizidi natoa changamoto kwake. Ajitokeze aorodheshe IDs zake zote nami nitaorodhesha za kwangu zote halafu tuone nani ana nyingi zaidi. Any takers? Lol

Ha ha ha ha umenichekesha kweli labda watajitokeza walionazo nyingi
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa

mkuu nadhani wewe, MS na Masa mna rekodi nzuri na kama nilivyosema hapo juu... Ban inachochea multiple IDs and it is evident

Masa na MS ni wa juzi juzi tu hao. Mimi tokea TEF -Jamboforum - Jamiiforums ninakula ban ban ban ad infinitum ad nauseam. I am officially the King of Bans!
 
Sidhani kama kuna mtu aliyewahi kula ban nyingi kuliko mimi humu JF. Na sidhani kama kuna mtu mwenye IDs nyingi kuliko mimi. Anayedhani anazo nyingi kunizidi natoa changamoto kwake. Ajitokeze aorodheshe IDs zake zote nami nitaorodhesha za kwangu zote halafu tuone nani ana nyingi zaidi. Any takers? Lol

Nina ID 17...!
 
Back
Top Bottom