Ushirombo
Wozoza
TheBLue
Azadracta
Miganiko
Muumini
Naanza na 6 hizi
niliwahi kupata ban kwa kuporomosha povu la kutosha kwa ntu mmoja humu ndani..... i didnt feel much pain kwani nilijua nimekwaza, but later niliomba msamaha nikafunguliwa
Ban was not a bad experience, it is worth experiencing ili ujue inafeel aje
Ban pia ni kichocheo cha multiple IDs humu jamvini
Hii naikumbuka wakati wa thread ya Mohamed Shossi
Nina ID za Kike pia
Mwanaharusi
Angels
... Farida:whistle:, the same same same farida:wacko: ? daym :banplease:Yaani 17 tu? Hahahahaaa mazee bado sana. Mi mwenzio nshasahau hadi idadi. Ngoja niwacheki Invisible na Farida wanisaidie kuzihesabu halafu ntakuja kuziweka hapa.
Nina ID za Kike pia
Mwanaharusi
Angels
kamanda ban ina raha na karaha zake.... ila ukiwa na povu unaweza kubandua key kwenye keyboard yakomkuu post lako limenipandisha mzuka wa kutafta experience ya ban. Mods naomba ban moja baridi.
kudadadeki/............. naona sasambua imeanzaHuko ndo usiseme kabisa...teh teh teh....
Haya here we go....
Neemah
queenkami (lol)
Sasha Fierce
Carrie
Da Huu
Mwantunu
Tabia
Hidaya
Jazina
Melanie
Monique
Shinunu
Manka
Juliet
Claudette
Mbona sijawahi kuona zikiwa hewani mkuu?
hiyo yenye red mkuu, avatar yake inanitisha kidogo ukizingatia wewe ni Mchungaji
Ndiyo maana nzima ya kuwa na multiple IDs
Zingine hizi
mTz,
Joji
Jobobabu
Idrisa Kishapu
Mwatumu
Kasiki
Dulle Dulle
Siwema
Amokile
Most of those IDs are strategic, if you know what I mean.
Has it ever dawned on you that in actuality I never get banned? The head honcho himself has given up on me.
With his own words he told me banning is not a solution for my mischief. I think eventually he just got tired and decided to let me be.
I mean, I used to be a bad ass. Back in the day I was so antagonistic. I used to pick fights with all and sundry. Scrapping was my middle name.
But now I have mellowed.
hI guys its very painfull tena kama Dena wangu simuoni inakuwa hatari kabisa! Kwangu mie kwanza ni Dena then mengine yatafuata. Jamani inauma sana kwenye Ban umekwenda mbali sana.... vip kuhusu topic yako kuwa moved?
Misin u Dena!!!! please follow terms and conditions nisije kukosa kuuona ushungi wangu!!!!