mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,468
- 431,962
Wadau huu ni uzi maalumu kwa wana jf yoyote ambaye alishawahi kulimwa ban embu tujuze ulijisikiaje baada ya kugundua uko kifungoni na unamiss mambo moto moto ya JF
Hahaha pole sana mkuuilikuwa hatari sana mkuu...nilihisi kama niko sero vile
kawaida tushazoeaHahaha pole sana mkuu
Wewe najua ulimiss sana ubuyu wa humuNilichekelea na kujituliza zangu nikisubiria masaa kadhaa yapite
Ya siku moja poa ni kama vile umekosa bando siku hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daah hata sikumbuki nilimtukana nani, nikashangaa tuu nafungua nakuta nimepigwa ban ya siku nzima.
Daah noma sana. But haikuniathiri sana coz ilikuwa ya mda mchache.
Hahahaha pole sanaHahaaaa. Sitakagi hata kuikumbuka sababu kipindi napata hiyo Ban nilikuwa teja hasa wa jf yaani hizo siku mbili niliziona kama mwaka.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ahsante banaa.Hahahaha pole sana
Mkuu ni moja wapo wa ID mpya uliyotengeneza @ miminimkulimaakachekasanaDAH MI ILINIBIDI NITENGENEZE ID MPYA