Kwa walosoma Moshi sec.... Msiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa walosoma Moshi sec.... Msiba

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Eeka Mangi, Dec 5, 2011.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wana JF mlosoma Moshi sec miaka ya 80, nawatangazia msiba Madesho wa Madesho hatunaye tena. Jamaa alitoka kwenye zoezi jana jioni akiwa njiani akajisikia vibaya akampigia mkewe simu. Alipelekwa kcmc na leo hii ameaga dunia.
  Bwana Alitoa na Bwana ametwaa Jina lake liinuliwe. Amen
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  RIP madesho wa madesho..
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kiajana ametangulia tukiwa bado twamhitaji. RIP broda
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Inauma uchungu!
  Too young to die...
   
 5. P

  Popompo JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  jamani tunaomba wasifu wake!pamoja na kusoma mo school alikuwa ni nani?RIP Madesho
   
Loading...