Kwa walioziponda Bombadier na kuziita pangaboi hii imekaaje ?

Nchi inaibiwa kwa mgongo wa kufufua ATCL. Mkiamka mtakuta mwenzenu kafika Bwanga akielekea home town(Chato).
Kitu cha usd110M mnaambiwa usd224.6M. Pombe siyo chai.
Dah mkuu umenikumbusha Bwanga. Nimesota sana hapo na wachina Wa Sino Hydro....
 
Tujikumbushie
new_atc_plane1.jpg
new_atc_plane12.jpg

new_atc_plane2.jpg
new_atc_plane8.jpg

Air Tanzania gets new Boeing 737-500 aircraft – Bongo5.com

Hivi hii iliishia wapi kwa wenye taarifa sahihi?
Nasikia Inayokuja ni mpya na bora zaidi ya hii.
 
Nchi inaibiwa kwa mgongo wa kufufua ATCL. Mkiamka mtakuta mwenzenu kafika Bwanga akielekea home town(Chato).
Kitu cha usd110M mnaambiwa usd224.6M. Pombe siyo chai.
Ivi ushawahi kununua gari
Jali ukinunua unaambiwa dollar 2500 lakini likifika ni dollar700 unakuwa umetumia ni kwann??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom