Kwa walioziponda Bombadier na kuziita pangaboi hii imekaaje ?

Acha unyumbu wewe
Kuna tofauti ya kuwa na chako na kutokuwa na chako
Nambie hospitali gani hakuna madawa maana ukerewe ndo kijijini kwetu
Hivi umesikia baba yake Belle 9 amekufa kwa sababu gani wewe chavi?

Au povu tu? Mtu amepata ajali na yupo mahututi ndugu anaambiwa akatafute dawa hospitalini hakuna dawa mpaka aliporudi akakuta mzee ameshakata roho. Hizo dawa zilizopo huko ukerewe labda ni Panadol tu.

Mimi mwenyewe nilipata ajali nikaenda hospitali tena kubwa tu nikaambiwa nikanunue mpaka sindano ya kushonea jeraha langu nilinunua mwenyewe sasa hapo sikuwa mahututi ndio niliweza kwenda kununua je ningekuwa mahututi si ningekufa?

Kuwa na akili chavi wwe.
 
Bado bombadier ni bombadier tu na hiyo ni tofauti,au hiyo inazibadili bombadier kuwa hiyo?
 
Nchi inaibiwa kwa mgongo wa kufufua ATCL. Mkiamka mtakuta mwenzenu kafika Bwanga akielekea home town(Chato).
Kitu cha usd110M mnaambiwa usd224.6M. Pombe siyo chai.
Mtachoka tu,wala makelele yenu hayatatukatisha tamaa.Wenye macho wataona,na wenye masikio wstasikia.
 
Haya ndo mambo nchi inatakiwa kufanya, sio kuchekeana chekeana tuuu na kujisifia kutibiwa tezi dume Ulaya wakati Muhimbili angetibiwa bure.

Viva Tz
 
Bavicha wamekosa namna ya kuikosoa awamu hii, wamebakia majungu tu.
 
Na kweli uwe unafikiria kabla ya kutoa ushauri pumba kama huu.

Unaweza kuniambia kabla ya bombadier kuna mtu aliyeshindwa kwenda safari zake kisa hakuna ndege za serikali?

Ila jiulize wangapi wamekufa kwa kukosa dawa katika hospitali za serikali!

Fikiria sana bwana mdogo kabla ya kukomenti.
Hata mtoto mdogo atagundua kuwa unaongea pumba. kila mtu anajua kuwa hadi dawa zipatikane hospitalini basi zinatakiwa zinunuliwe. Na pesa itakayonunulia hayo madawa unafikiri itapatikanaje bila kuwa na vyanzo vya mapato? Wewe ndio unafikiria tu kupata huduma nzuri bila kujua hadi huduma hiyo ikapatikana basi pesa imetumika.. na hiyo pesa imetokana na vyanzo vingine vya mapato. Au unafikiri kuna sehemu serikali inaenda kuchukua pesa tu na kufanyia mambo yake? Unataka tuwe tunaconsume tu bila kuproduce? Kuanzia leo utambue kuwa ili huduma ipatikane basi lazima kuwe na vyanzo vya mapato. Sijui kama utakuwa umeelewa.
 
Nahisi anachofanya Magu ni kujaribu kutafuta sources za pesa kwanza, ni vizuri kuweka priority kwenye sources za pesa, zikipatikana serikali ikawa na pesa nyingi ndipo ishughulikie mambo kama miundombinu, afya e.t.c

Serikali haina pesa, kutumia pesa zote kwenye hivi vitu alafu tukafulia zaidi itafika kipindi hatuna hata ya kufanyia biashara, when that moment comes hata hiyo afya yenyewe hakutakua na senti ya kupeleka huko. So yah! kwa hili ngoja akomae tu kutafuta sources za pesa, namuunga mkono kabisa, shida yangu ni Bashite tu, na polisi kukamata watu kwa makosa ya kijinga kama comment za facebook basi.
We huoni kama angefanya vizuri zaidi na hakika angeacha legacy ya kukumbukwa hata vizazi na vizazi kama angeanzia kuboresha mfumo mzima wa elimu na afya kwanza?
Yani vipaumbele vya msingi vingekua elimu na afya kwanza sababu elimu Tanzania ni janga kubwa na huko kwenye afya sisemi kabisa.
 
We huoni kama angefanya vizuri zaidi na hakika angeacha legacy ya kukumbukwa hata vizazi na vizazi kama angeanzia kuboresha mfumo mzima wa elimu na afya kwanza?
Yani vipaumbele vya msingi vingekua elimu na afya kwanza sababu elimu Tanzania ni janga kubwa na huko kwenye afya sisemi kabisa.
Hiyo elimu na afya kwa hela ipi ndiyo tatizo, akipeleka hela yote huko alafu nchi ikafirisika madawa yakakata na elimu kiwango kikarudi chini atakua kasaidia nini?

Unapotaka kuondoa tatizo unadeal na mzizi sio matawi, nchi ikiwa na vyanzo vya pesa hata elimu na afya lazima zitapanda tu automatically. Kudeal na afya ni gharama sana zaidi ya unavyofikiria, ningependa ndiyo kuona elimu inaboreshwa sana ila kwa pesa iliyopo nchini sasa hivi hizo ni ndoto, hata bajeti nzima haitoshi kurekebisha haya maswala mawili.
 
Hiyo elimu na afya kwa hela ipi ndiyo tatizo, akipeleka hela yote huko alafu nchi ikafirisika madawa yakakata na elimu kiwangi kikarudi chini atakua kasaidia nini?

Unapotaka kuondoa tatizo unadeal na mzizi sio matawi, nchi ikiwa na vyanzo vya pesa hata elimu na afya lazima zitapanda tu automatically. Kudeal na afya ni gharama sana zaidi ya unavyofikiria, ningependa ndiyo kuona elimu inaboreshwa sana ila kwa pesa iliyopo nchini sasa hivi hizo ni ndoto, hata bajeti nzima haitoshi kurekebisha haya maswala mawili.
Mabilion ya shs. yananunua ndege hizi hapohapo biashara ya ndege ni haitabiriki chochote kinaeza tokea, hizi hela zingeanzia kwenye uboreshaji mfumo mzima wa elimu kuzalisha skilled people ambao wangeweza hata kujiajiri sababu ya kuwa na maarifa ya kutosha so vijana wengi wangepata uwezo wa kujitafutia kipato chao tofauti na sasa wengi ni tegemezi hivyo wangelipa kodi kwa serikali vizuri na hiyo kodi serikali ndiyo ingetumia kwenye huduma nyingine za kijamii.
 
Zile wataziita pangaboi. Hii watakwambia sio kipaumbele kwa sababu haipondeki. Mwingine umeshamsoma hapo juu kakosa pote kakimbilia quatation za mfariji wake Mange eti Tunaibiwa inanunuliwa kwa bei isiyo halisi.

kweli bado tunasafari ndefu...
unaandika ukiwa n Jazba hata ukieleweshwa ni bure ingia kwenye website usome acha kujitia ubashite wew,
mange aliongea fact wew unaongelea propaganda tena zakizamani
 
Weka invoice ya manunuzi tuione!!!!!!

We unadhani uwanja wa chatu unajengwa bila mahebu?!

Akimaliza naye ana ya kwake:D
 
Acha unyumbu wewe sio unaongeaongea bure bila ata kuelewa
Unavyoongelea maji au njaa unajuaje sio kipaumbele
Sio kila ki2 lazima upinge
Ndege inafaida zaidi ya usafirishaji acha kuropoka
Kuna kutangaza jina la nchi
Kutangaza utalii
Kuleta utalii
Kulipa kodi
Na mengine mengi
Acha kuongea kama sio msomi
Ndo maana binadam wengi wanashindwa kuendelea sababu ya unyonge wa kufikiri, mtu unakuwa huna mipango kisa unyumbu wa akili yako
Badilika
Upinzani sio lazima kupinga kila ki2
Am23 najua umeona mengi kuliko mimi lakin hiyo haimaanishi akili yako ni kubwa kuliko mimi, we unaongea ili kuponda2 serikali
Magu endelea kuendesha roli
Nimefurahi sn hapo penye lori......Hongera nyumbu wa Lumumba.......Kwa akili yako hushangai ccm ni chama cha vipaumbele baada ya miaka 50???????Mnabomoa taifa badala ya kujenga?
Ndege zimejaa ufisadi na uvunjavi wa sheria ya manunuzi.....ENDELEA KUSHABIKIA UPUMBAVU NA UTABAKI MPUMBAVU. Wewe huna miaka 23 labda 13.5
 
Umekariri kwa Mange? Watanzania bwana
Nyumbu nyie mnaoharibu nchi....Hata wabunge wenu kila wapinzani wakisema kuna ufisadi Fulani wanasema mnaleta hbr za kwenye vijiwe lkn baadaye kila kitu kinajidhihirisha....
Nyine Ng'ombe endeleeni kukaririhswa huku taifa likiangamia
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom