Kwa waliowahi kudisco UDSM naombeni ushauri

mbobezi11

Senior Member
Jun 11, 2022
156
120
Naomba kupatiwa uzoefu kwa wale waliowahi kudisco Chuo kikuu cha Dar Es Salaam, hasa kwa wale kwenye cases tofauti ya kushindwa kufikisha GPA.

Mimi sijafanya mtihani wa Semester one, Kwa kukosa ada, Hii ikanaifanya niamue Ku postpone mpaka semester ya pili, Sasa kama tunavyojua mwaka wa masomo ndio huo unaisha na majibu yangu bado sijapata, wasiwasi wanguu ni kama ntaandikiwa DISCO, naomba kuuliza

(I) kwa case kama hii naweza kuwahi kuanza kama freasher October? Au nitakuwa tayari nimedisco ?

(I) ikiwa umeendikiwa Disco na wakati umeshaandika barua ya Ku postpone semester unaweza Ku appeal hiyo disco?

Na mambo mengine wakuu
Ahsanteni sana
Natokea

University of Dar es salaam School of Law (UDSoL)
 
Naomba kupatiwa uzoefu kwa wale waliowahi kudisco Chuo kikuu cha Dar Es Salaam, hasa kwa wale kwenye cases tofauti ya kushindwa kufikisha GPA.

Mimi sijafanya mtiani wa Semester one, Kwa kukosa ada, Hii ikanaifanya niamue Ku postpone mpaka semester ya pilii, Sasa kama tunavyojua mwaka wa masomo ndio huo unaisha na majibu yangu bado sijapata, wasiwasi wanguu ni kama ntaandikiwa DISCO, naomba kuuliza

(I) kwa case kama hii naweza kuwahi kuanza kama freasher October, ? Au nitakuwa tayr nimedisco ?

Kafuatilie Majibu Ya Barua Yako...Hawapigagi Simu, Unaifata Mwenyewe.
 
Sina jibu la kukupa ila Nnapoona Law ya UDSM namkumbuka Profesa kutoka jalalani. Angalia na wewe usije kuwa kama profesa wa jalalani maana wote mmesoma JALALANI.
 
Naomba kupatiwa uzoefu kwa wale waliowahi kudisco Chuo kikuu cha Dar Es Salaam, hasa kwa wale kwenye cases tofauti ya kushindwa kufikisha GPA.

Mimi sijafanya mtiani wa Semester one, Kwa kukosa ada, Hii ikanaifanya niamue Ku postpone mpaka semester ya pilii, Sasa kama tunavyojua mwaka wa masomo ndio huo unaisha na majibu yangu bado sijapata, wasiwasi wanguu ni kama ntaandikiwa DISCO, naomba kuuliza

(I) kwa case kama hii naweza kuwahi kuanza kama freasher October, ? Au nitakuwa tayr nimedisco ?

(I) ikiwa umeendikiwa Disco na wakati umeshaandika barua ya Ku postpone semester unaweza Ku appeal hiyo disco?

Na mambo mengine wakuu
Ahsanteni sana
Natokea

University of Dar es salaam School of Law (UDSoL)
Ukishaandika barua ya postpone tu tayari umesimamisha chuo! Hapo hat ukiomba tena system ya Bodi y vyuo itakugomea kwamba upo chuoni. Fatilia majib y barua y a resume uanze chuo upya
 
Fuatilia barua yako ya postponment. Hakikisha unaipata. Kama kwenye inaonyesha umedisco kwa sasa wala isikupe shida. Baada ya kupata barua hayo yote yataisha.
Naomba kupatiwa uzoefu kwa wale waliowahi kudisco Chuo kikuu cha Dar Es Salaam, hasa kwa wale kwenye cases tofauti ya kushindwa kufikisha GPA.

Mimi sijafanya mtiani wa Semester one, Kwa kukosa ada, Hii ikanaifanya niamue Ku postpone mpaka semester ya pilii, Sasa kama tunavyojua mwaka wa masomo ndio huo unaisha na majibu yangu bado sijapata, wasiwasi wanguu ni kama ntaandikiwa DISCO, naomba kuuliza

(I) kwa case kama hii naweza kuwahi kuanza kama freasher October, ? Au nitakuwa tayr nimedisco ?

(I) ikiwa umeendikiwa Disco na wakati umeshaandika barua ya Ku postpone semester unaweza Ku appeal hiyo disco?

Na mambo mengine wakuu
Ahsanteni sana
Natokea

University of Dar es salaam School of Law (UDSoL)
 
Fuatilia barua yako ya postponment. Hakikisha unaipata. Kama kwenye inaonyesha umedisco kwa sasa wala isikupe shida. Baada ya kupata barua hayo yote yataisha.
Wakikuandikia DISCO, na umewasha peleka barua ya kuhairisha uamuzi unaweza kutenguliwa?
 
Back
Top Bottom