Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Dadazake nakymbuka waliishia ugaibuni akaendanakurudi Dar kufungua studio sijui kama iko hai na hizi vat zetu loh
 

Mama TARIMO NIko nae kimara

Alifiwa na mwanawe (UNO KAMAMNAMKUMBUKA)mwenye kuwiwa na mchango ani pm
 

Umemaliza kabisa Dora ni pm basi jamani
 
Kuna dada mmoja nilikutana nae USA club akanichunia kama nimekujankujaza nafasi yake maskini nilikuwa nawashikaji nkawaambia nikiondoka mwambien nilikuwa transit nakujalikizo tu ingawa nilimpenda sikunyingi toka foro ila mama didy kashamaliza

Babake ni prof mnakumbuka

Cc THE BOSS
 
Embu tukumbushane jamani nani alikuwa anatabia ya wizi darasani hasa class A
 
Heeheee nimemkumbuka dada Clara august yupo
 
Niliambiwaga ni dk sijui waninii embu tuelezane tusijekaa muhimbili foleni kumbe kuna mates
 
Me nakumbuka nilikuwa nakopa sana ice cream kwa babu jinga then full kujificha kwenye manguzo yale ili asinione.
But nilivyo ingia standard 2 tukaamishwa wakadai shule inatakiwa kuwa kanisa.
 
Ingawa Nimetoka ila mwenyeshida na airport ya JNIA
Sio kupitisha mambo ya azania lakiinii

Aah

Hata porter nakusaidia ndio umuhimu wakuwa Huku
 
Me nakumbuka nilikuwa nakopa sana ice cream kwa babu jinga then full kujificha kwenye manguzo yale ili asinione.
But nilivyo ingia standard 2 tukaamishwa wakadai shule inatakiwa kuwa kanisa.

Aiseee yaaniii ulivyotajaaa hiyooo bikakukumbuka ulivyokuwa unapishana kuwakimbia makonda usilipennauli kumbe zimeishia kwenye mihogopale chini
 

Umemaliza ila umemmisi mamayetu

RIP MWL MANONI
Mungu ampe rehema zake huko uliko
 
Yaani tunapoelekeeeaaaa


hizi RIP

Zitakuwa kama habari ya saizi umeamkaje


MUNGU Atunusuru jamani hivi kwenye hiki kizazi

Akuna hata Pastor atukaribishe kanisan kwake ila akikisha uko na airtrlell mny nantigopesa
 
Hongera mliokula chumvi zenu..

Hivi hiyo Forodhani si ndo sasa hivi ni.St. Joseph Millenium iliyorudishwa na Serikali kwa Kanisa..?

Sasa hivi imekuwa Bonge ya shule

Jamani umenikumbusha mbali Mkuu, Maana ilikuwa eniglish medium school kati ya chache zilizouwepoo wengine tulisoma Forodhani Secondary na hilo jina St Joseph ndio lilikuwa jina lae la kabla ya uchukuliwa a sereali na bado I ikwa na ubora wake. Sare za shule zilikuwa zinatoka Italy. Walimu wakifundisha w moyo. Fursa sawa kwa wote! Mhhh jamani makiwa.
 
Mama TARIMO NIko nae kimara

Alifiwa na mwanawe (UNO KAMAMNAMKUMBUKA)mwenye kuwiwa na mchango ani pm

RIP Uno. Alikuwa classmate wangu. Alifariki lini Pdidy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…