Kwa waliokua na Justin Bieber tujuane

Kwa waliokua na Justin Bieber tujuane

Diddy KAMKOBOA SANA HUYU DOGO!... na kalivyokuwa ka handsome sasa! Diddy alikuwa hatumii BUKAVU wala kilainishi!
 
Alikuwa yuko vizuri sana, alipojichanganya na yule jamaa aliyepo gerezani nadhani ndio kilichomfanya aonekane jinsi alivyo kwa sasa.
 
Diddy KAMKOBOA SANA HUYU DOGO!... na kalivyokuwa ka handsome sasa! Diddy alikuwa hatumii BUKAVU wala kilainishi!
Waja wasio na haya mmeingia🤣

Kwamba alikuwa anamtafuna dogo?

Hapana bwana msiipeleke hii scenario huko
 
Alikuwa yuko vizuri sana, alipojichanganya na yule jamaa aliyepo gerezani nadhani ndio kilichomfanya aonekane jinsi alivyo kwa sasa.
Diddy Enzi hizo ndo alikua kama babu tale kipind mondi anaanza so haikuwa na option
 
Binafsi huwa namuelewa sana Bieber, ndo maisha sijawahi kumhukum kwa lolote.
Dunia imejaa wanyama, watu ni wachache sana.
 
Back
Top Bottom