de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,622
- 23,134
- Thread starter
- #21
Sija downplay industry, ila sio kwa ukubwa huo ambao sisi tunahisi. Na alivyo collapse haikuwa eti planned bro, tutakuwa tunadanganyana like how could that be?Unaposema ilikuwa scandal tu Mkuu hapa unajaribu ku-downplay jinsi industry ilivyokuwa na control juu ya maisha yake.
Alipo collapse industry ilimwacha aonekana kama a failed product ili wapate faida upande wa drama.
Hata kama sasa hivi amekuwa mtu poa, ukweli unabaki kuwa ule umaarufu ulikuwa a double edged sword ambayo ilimkatakata sana kabla hajaanza kujijenga upya, haikuwa scandal ya kawaida ile, ilikuwa ni calculated exploitation.
For Michael Jackson sawa, maana yeye mpk walikuwa wanampaka identity isiyo yake ila jamaa amekuwa mkweli ndo maana hali yake imezidi kuwa nzuri with time.
Ilikuwa planned mpka pale Alipo amua kubadilika, sasa hivi na yeye anacheza nao kibingwa kama Kanye west