de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 12,664
- 25,020
- Thread starter
- #41
Una mwongelea Michael Jackson?Nakumbuka when I was young watu walikuwa wanamkwepa hata kufanya nae collabo baada ya Kesi zake
Yaani ukishapewa zile Kesi zao hata kama utashinda still Unakuwa umeshapoteza Uaminifu na Kila kitu hakuna kampuni itakayo taka kuwekeza kwako au kufanya kazi na wewe
