Kwa waliofika Lubumbashi na Kinshasa


Yani we we kijana du!
 
Lubumbashi ina fursa nyingi za biashara.Kuanzia vyakula,electronic goods,mavazi,vipuri vya magari,hata usafirishaji ukiweza kuingiza lori zako.
Mambo ya mlo ni tatizo.Bei iko juu na viwango vya mapishi ni duni.Chunga sana kulakula ovyo hasa nyama chuma utakula mbwa .Hapo Lubumbshi mbwa wanaliwa ile mbaya pia paka,nyani,na nyamafu wanagonga hakitupwi kitu.
Malazi yako juu,kwa dola 25-30 utapata gesti ambayo TZ ingegharimu elfu 10 -15.Usipende kutembea usiku zaidi ya saa 3.Wale polisi na wanajeshi wanaokubomu mia tano mia tano mchana usiku hawafai hata chembe ukiingia 18 zao.Kongo ukabila umeota mizizi hivyo kuwa makini na utakao deal nao.Kama uta deal na watu wawili tofauti na wa makabila tofauti tegemea mikwamo maana kila mmoja atataka kumharibia mwenzie ili umthamini yeye na kitachotokea ni wewe kuharibikiwa.Rushwa ni nje nje,tegemea kuzinguliwa na watu wa immigration pale Kasumbalesa na watakupiga $ 10-50 inategemea na ujanja wako.Na kutoka ni hivyo hivyo.
Mkuu mbona unasema unataraji kukaa kule takribani wiki mbili sasa huwezi kukoomaa tu bila kugonga?au ndo mambo ya kukuza CV?Malaya ,wanaitwa Wandumba wamejaa lakini mmh kinyaa tupu.Kama we uko na makuta munene angalia usicomplicee mambo ya biznes na mipango hiyo.Ziko ndumba za kila aina kuanzia wale wa miaka 13/15 hadi ile migungumalo.Naishia hapa kwa sasa ntarudi tena kukuongeza mengine.
 
mkuu GOKILI umenikosha yaani umeenda ngazi kwa ngazi,nilichogundua hadi sasa kule chakula ni dili
 
mkuu GOKILI umenikosha yaani umeenda ngazi kwa ngazi,nilichogundua hadi sasa kule chakula ni dili

Tupo pamoja mkuu usikonde.Ni kweli Congo chakula ni dili.Nafikiri pia ni kutokana na utamaduni wa maisha ya wakongo kilimo hakikupewa kabisa kipaumbele na kila mkongolee anawaza na kutamani kuwa mfanyabiashara na pia wana asili ya uvivu.Inastaajabisha na kusikitiza kumkuta mkaazi wa kijijini kwenye ardhi yenye rutuba na mvua za kutosha akikulalamikia ana siku mbili hajakula.
 

Hebu weka bei za wandumba! Na style ya kuwapata
 
Hebu weka bei za wandumba! Na style ya kuwapata

Bei zao nasikia ni kati ya $ 30 -70 ila inategemea na mahali ulipomtoa.Wandumba utawapata maeneo ambayo watu wanafanya ambiance kama kwenye groceries,bar,nightclubs na wapo wengine kitongoji kilichoko jirani ya uwanja wa mpira wa TPMazembe wana ile miondoko ya akina ………bota.
 

Brother nlkupm but hukunijbu
 
falcon mombasa at his peak performance! malaya wapo kila sehemu labda kama unataka zile alternatives zenu za mombasa za kina aunt hamis
 

uko sawa kabisa, hakika umeishi congo
 
falcon mombasa at his peak performance! malaya wapo kila sehemu labda kama unataka zile alternatives zenu za mombasa za kina aunt hamis

hehehehe mi mtz,ila naishi hapa mombasa,wale mabwabwa hata dar wamejaa, afu we kwanini mawazo yako umepeleka moja kwa moja kwenye malaya wakati hapo vimeongelewa vingi kaka mkubwa, na wewe memba ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…