Nauza Tsh 20000/kg mkuu. Kama upo tayari tunafanyakazi.
Lubumbashi pako poa ila maisha yako juu sana usishangae $100 ikaisha kwa siku kulingana na matumizi yako chakula ni tatizo sana kama ni mnywaji usitegemee supu bar labda michopoo nyama ya mbuzi ya kuchoma pia dada poa wa chini ni $20 ila nakushauri achana nao
kujifunza kulala na malaya?
Enzambe episiyo makasi mingi, bakuye na famili kincchaza iko bye na ile kitu bakongolee natumiaga ipo na inapatia mutu yoyote inakuja hapa.
kumbe wanatumia dollar mkuu? na vp wanasema gharama za ushuru wa barabara
ezali na biloko ako lingaka mobali soki yamoni namosolo.nzambe na mopesi mobimba ya bolingo nayo
Wanatumia Franc ya kwao $100 = F21000 ila inaisha faster sana.
Hii thread imenikata stimu ya kwenda DRC.
kama skosei umemaanisha franc $100 ni sawa na 21000tsh
Nizidi kuwasihi ndugu zangu linapokuja suala la kujadili fursa za eneo fulani jitahidini kua serious maisha hayatotusubiri inabidi ukimbizane na muda kwani muda wa kutafuta ni mfupi mno kuliko tunavodhani kwa hali ya kawaida na ni boara kupeana fursa kiufasaha zilizopo katika maeneo mbali mbali tuliyopita au kuishi
Kwa njia ya basi unatoka Dar hadi Tunduma, halafu unavuka upande wa Nakonde 'zambia pale utachukua mabasi yanaitwa Power Tools ndo unaenda hadi Kasumbalesa then Lubumbashi na unaweza kupanda magari ya Taqwa moja kwa moja kutoka Dar to Lubumbashi na kwenye vyakula wadau hawajakosea malazi pia yako juu na msosi bei juu
Mkuuu falcon mombasa nimesomaa comment za wadau wengiii hapaa kwenye threat wana lalamika mambo ya msosii...
Ushauri wanguu chukua hiyo kama fursaa mojawapo coz nimeona umeandikaa unaenda kutafuta fursa za kibiasharaaa....
Ichukue hiyo point uende mayo kichwani moja ya fursaa nikufungua mgahawa wa chakula kizuriii...
Dolla moja kwa chenji ya sasa ni franca 900 hadi 950 wakati dolla moja kwa Rwanda ni Franca 650 hadi 700 wakati kwa bongo dollar moja ni TSH 2150 hadi 2200 kwa Congo franga 90 elfu hadi laki moja yao ndo sawa na dolla 100