Kwa walioa/olewa na wanasheria tupeane uzoefu hapa

......nimekujua kujua too late....
Ila tafuta siku mkuu, yaani ongea nae kwa utulivu sana... Tena ikiwezekana mtoe out alafu mkiwa huko mweleze kwa utulivu cchangamoto unazopitia kwa utulivu kama ulivyokua unamtongoza... wenda akakuelewa !!
 
Ndo inatakiwa
Serious , unajua unapokoswa furaha nakuishia kua MTU wakujiuliza maswali muda wote hata utendaji wamaisha yako unapungua.

Watu sasa wanawaza maisha ,tunaitaji furaha ndani yafamilia ili itusaidie kusonga mbele Alafu eti iyo Furaha iwe niyakwako tu kisa kazi yako ,nani kasema ????.

Ndomaana kwanza sitooa mwanamke wakabila langu.
 
Tatizo sio fani ya sheria tatizo ni self understanding ya mtu mwenyewe na kushindwa kutofasiri kisheria kati ya RIGHTS (haki), DUTIES (wajubu/majukumu) na PRIVILEGES (kisw cjui) hata wanaharakati wa haki za binadamu wamekuwa wakishindwa kuuambia umma suala hili.

RIGHTS (haki)
Zipo kwa mtu wa sheria kwa kwa binadamu yyte baada ya kutoka nje ya tumbo la mama. na zile zinazopatikana kwa mujibu wa sheria zingine kwa masharti fulan eg. Bada ya kufikisha miaka 18 n.k

DUTIES (majukumu)
Kwenye ndoa (ni tofauti na kwenye Tangazo la kazi n.k ambapo wajibu huandikwa) wajibu haojaorodhesha bayana/kinaga ubaga kama jinsi ili kwny RIGHTS

Wanaposema "EQUALITY BTN MEN & WOMEN" wanamanisha in_terms of rights na sio duties or privileges. Na kwenye Ndoa Rights claim hutokea hasa wakati ndoa inapoingia matatani (when rivals crops)

PRIVILEGES
Ni sitahiki ambazo mwanadoa anasitahi kupewa mfn
-Kupendwa
-Kuheshimiwa
-Zawadi
N.k (hizi zipo hata kwny Biblia kwa wakristo soma Waefeso 5:22-26.

Huyo wifi kaka yangu ni tatzo lake binafsi (Problem in persona) na sio lawama kwa wanasheria wote (problem in rem)

Na wewe ni mwanasheria....walewale pasua kichwa
 
Ila tafuta siku mkuu, yaani ongea nae kwa utulivu sana... Tena ikiwezekana mtoe out alafu mkiwa huko mweleze kwa utulivu cchangamoto unazopitia kwa utulivu kama ulivyokua unamtongoza... wenda akakuelewa !!

Tulishapita huku kote mkuu
 
Tatizo sio fani ya sheria tatizo ni self understanding ya mtu mwenyewe na kushindwa kutofasiri kisheria kati ya RIGHTS (haki), DUTIES (wajubu/majukumu) na PRIVILEGES (kisw cjui) hata wanaharakati wa haki za binadamu wamekuwa wakishindwa kuuambia umma suala hili.

RIGHTS (haki)
Zipo kwa mtu wa sheria kwa kwa binadamu yyte baada ya kutoka nje ya tumbo la mama. na zile zinazopatikana kwa mujibu wa sheria zingine kwa masharti fulan eg. Bada ya kufikisha miaka 18 n.k

DUTIES (majukumu)
Kwenye ndoa (ni tofauti na kwenye Tangazo la kazi n.k ambapo wajibu huandikwa) wajibu haojaorodhesha bayana/kinaga ubaga kama jinsi ili kwny RIGHTS

Wanaposema "EQUALITY BTN MEN & WOMEN" wanamanisha in_terms of rights na sio duties or privileges. Na kwenye Ndoa Rights claim hutokea hasa wakati ndoa inapoingia matatani (when rivals crops)

PRIVILEGES
Ni sitahiki ambazo mwanadoa anasitahi kupewa mfn
-Kupendwa
-Kuheshimiwa
-Zawadi
N.k (hizi zipo hata kwny Biblia kwa wakristo soma Waefeso 5:22-26.

Huyo wifi kaka yangu ni tatzo lake binafsi (Problem in persona) na sio lawama kwa wanasheria wote (problem in rem)
Alafu wewe ni mwanasheria nakumbuka sana post zako kule jukwaa la sheria, embu tuambie kwann wenzako wengi wanakua hivi??
 
Serious , unajua unapokoswa furaha nakuishia kua MTU wakujiuliza maswali muda wote hata utendaji wamaisha yako unapungua.

Watu sasa wanawaza maisha ,tunaitaji furaha ndani yafamilia ili itusaidie kusonga mbele Alafu eti iyo Furaha iwe niyakwako tu kisa kazi yako ,nani kasema ????.

Ndomaana kwanza sitooa mwanamke wakabila langu.

ALL IN ALL, USIROGWE UKAOA MWANASHERIA MKUU
 
Serious , unajua unapokoswa furaha nakuishia kua MTU wakujiuliza maswali muda wote hata utendaji wamaisha yako unapungua.

Watu sasa wanawaza maisha ,tunaitaji furaha ndani yafamilia ili itusaidie kusonga mbele Alafu eti iyo Furaha iwe niyakwako tu kisa kazi yako ,nani kasema ????.

Ndomaana kwanza sitooa mwanamke wakabila langu.
We only live once ya nin kuilazimisha furaha wakt moyo unaumia? 2018 nmektaa huo ujinga kbs furah na Aman ndo kila finish sio unakua na mtu huna Aman nae wala furaha kisa unaanglia jamii itakuchukuliaje sijui ndoa uvumilvu kuna mengne ni kuvumilia ujinga tu.
 
Duh,,,sijawahi kuona mtu mbishi kama huyu mke wangu........Tupo kwenye ndoa na mke wangu mwanasheria miaka zaidi ya kumi...mwanzoni alikuwa akileta ubishi na mashindano nilikuwa namdunda hasa....lakini baadaye ikawa inanicost mwenyewe sababu ataugua wiki nzima....mimi ndiye ilinibidi niwe nina mtake care hospitali nk hasa kipindi alichokuwa na mtoto mchanga..kwa hiyo hata shughuli zangu zikawa zinaathirika pia......nikaamua kum ignore....mke wangu kila kitu anataka tuwe sawa....hataki kupika sababu anasema nayeye anafanya kazi (hata weekend anasema anapumzika) ,hafui kabisa ,kitanda hatandiki..mambo yoote haya anafanya house girl...ukimgusia juu ya lolote katika hayo mtakesha kugombana na ataleta mambo ya kubalance kati yake na yangu.....hivyo unajikuta unakaribia kumdunda...unaachana naye....kwa hiyo nikaamua kuwa mlevi ili nimpotezee kabisa...haya yote nimeshawaeleza mpaka wazazi wake lakini haijasaidia kitu...yeye muda wote ni mambo yake ya corporate/official nk nk....dinner nyingi , meetings nyingi ....sasa nimefikia mahali sijui anarudi saa ngapi au kama yuko home atatoka saa ngapi..yote hiyo anasema yuko busy na kazi/wateja..anaweza kupigiwa simu hata saa tano/sita usiku atakwambia wateja hao kama vipi nipeleke....ukijaribu kumzuia ni maneno ya kejeli kwenda mbele...ni kwamba sasa ananipanda kichwani....kiburi ,dharau ndiyo mpango mzima.....ukiangalia kampani yake yote ni wanasheria lakini wameshaachika ..hawana ndoa tena au hawaoleki.....tuna watoto wawili ..nafikiria kumtimua kwani amenikuta na maisha yangu hapa na yeye nikamlea tangu hana kazi mpaka kapata kazi na sasa kapata jeuri ....bahati mbaya zaidi nimeacha pombe hivyo napata maumivu mara kumi zaidi ..........akili yangu iko hatua za mwisho za kufanya maamuzi....ningependa kupata uzoefu kutoka kwa wenzangu walioingia kwenye chaka hili au kuna sehemu nilikosea?....karibuni Rock City,Mwanza
Pasua kichwa hicho balaaaaa yaaani kwa pigo hizo kaa mbali nae acha kujitesa kabisa haya maisha haya hitaji stress
 
We only live once ya nin kuilazimisha furaha wakt moyo unaumia? 2018 nmektaa huo ujinga kbs furah na Aman ndo kila finish sio unakua na mtu huna Aman nae wala furaha kisa unaanglia jamii itakuchukuliaje sijui ndoa uvumilvu kuna mengne ni kuvumilia ujinga tu.
Take it [emoji106] 100%!! Umezaliwa nakukua mwenye furaha na aman,, nikwann uruhusu MTU /kitu chanje kikiumize ?? .

Nilazima tuwe nafuraha ambayo inatokea nainaanzia ndani mwetu ,nahatupaswi kuiacha furaha iyo iharibiwe na MTU .

Kwann uishi maisha ya kujilaumu ?? Aiseeee me I will never ,, you treat me kwa kupuuza ,,, namm nakuupuuza mapemaaa nasionekani tena
 
Duh,,,sijawahi kuona mtu mbishi kama huyu mke wangu........Tupo kwenye ndoa na mke wangu mwanasheria miaka zaidi ya kumi...mwanzoni alikuwa akileta ubishi na mashindano nilikuwa namdunda hasa....lakini baadaye ikawa inanicost mwenyewe sababu ataugua wiki nzima....mimi ndiye ilinibidi niwe nina mtake care hospitali nk hasa kipindi alichokuwa na mtoto mchanga..kwa hiyo hata shughuli zangu zikawa zinaathirika pia......nikaamua kum ignore....mke wangu kila kitu anataka tuwe sawa....hataki kupika sababu anasema nayeye anafanya kazi (hata weekend anasema anapumzika) ,hafui kabisa ,kitanda hatandiki..mambo yoote haya anafanya house girl...ukimgusia juu ya lolote katika hayo mtakesha kugombana na ataleta mambo ya kubalance kati yake na yangu.....hivyo unajikuta unakaribia kumdunda...unaachana naye....kwa hiyo nikaamua kuwa mlevi ili nimpotezee kabisa...haya yote nimeshawaeleza mpaka wazazi wake lakini haijasaidia kitu...yeye muda wote ni mambo yake ya corporate/official nk nk....dinner nyingi , meetings nyingi ....sasa nimefikia mahali sijui anarudi saa ngapi au kama yuko home atatoka saa ngapi..yote hiyo anasema yuko busy na kazi/wateja..anaweza kupigiwa simu hata saa tano/sita usiku atakwambia wateja hao kama vipi nipeleke....ukijaribu kumzuia ni maneno ya kejeli kwenda mbele...ni kwamba sasa ananipanda kichwani....kiburi ,dharau ndiyo mpango mzima.....ukiangalia kampani yake yote ni wanasheria lakini wameshaachika ..hawana ndoa tena au hawaoleki.....tuna watoto wawili ..nafikiria kumtimua kwani amenikuta na maisha yangu hapa na yeye nikamlea tangu hana kazi mpaka kapata kazi na sasa kapata jeuri ....bahati mbaya zaidi nimeacha pombe hivyo napata maumivu mara kumi zaidi ..........akili yangu iko hatua za mwisho za kufanya maamuzi....ningependa kupata uzoefu kutoka kwa wenzangu walioingia kwenye chaka hili au kuna sehemu nilikosea?....karibuni Rock City,Mwanza
Pole sana Mkuu, hizo ndizo changamoto tunazo kutana nazo Wanaume wengi wenye wake ambao wamejaaliwa kazi pamoja na vipato.

Mke wangu mimi ni Soja (Mjeda) mbilinge zake mtaani kote wanazijua.

Na hivi sasa nahofia hata kumpiga chini, kubwa ni kuyavumilia machungu..
 
Ukithubutu kuleta hii hoja utafunguliwa vifungu vya sheria plus katiba alafu akwambie unamnyima freedom ya kufanya kazi kwa mujibu wa kifungu 1(a) cha sheria ya kazi na haki za binadam.... Ukiendelea kubisha jua kesho unapelekwa polisi...
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama n mm ningetafuta mke wa pili, oa hata kimila.

Maana mie nilishasema siachi mke, ila ntaongeza maana nikimbiliako sijui kuna hali gani.
 
Wa kwangu ni mwanasheria lakini sisi ni marafiki na ananipa legal advise bure
Wewe Dada Kwenye Mada inayohitaji Msada acha kuongea Uongoooooooooooo.. Kwa unavyoheshimika humu kuleta Mzaha wa namna hii unakuwa unawakosea watu, Not happy with your comment japo ni haki Yako.
 
Wapi Walimu hamna dinner seminer wala meeting ukirud ndan una daftar zako za kusahisha ukimalza unaandaa lesson Plan, Acha ntafte kibint mwalimu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom