Kwa walioa/olewa na wanasheria tupeane uzoefu hapa

Kwa walioa/olewa na wanasheria tupeane uzoefu hapa

Wewe kabila gani mkuu, na kwa nini hupendi wanawake wa kabila lako
Hahahahaha kabila kulitaja niinshu....ila wanawake wakabila letu wanatabia ya Ubishi ,kutafuta superiority ,yaaan hawanaga speed governor mdomoni na kichwan mwao....yaaan wanakupasua kichwa ingali bado
 
Nesi(hana uaminifu),mwanasheria (mtata),wafanyakazi wa TANESCO(wazinzi),bora mwalimu tena wa msingi.
 
siku zote wanawake hutumia watoto kama kinga.....unatakiwa uwe very very smart kujichomoa.......hujaambiwa umsindikize.......mkeo unamsindikiza hospital tuuu....kwingine unamwambia gari ina mafuta just fika salama.....
Nazani ngonyango amejikwaa aliposema anaondoka saa 5 usiku kwenda kwa mteja! Kwani anaenda kuamlia au ni polisi! Issue ni kuwa mwanamke akiwa na mchepuko anakuwa na guts za ajabu na kukujibu ovyo. Ajaribu kumchunguza kama anachepuka ili asitishe uchepukaji wake na mambo yatakuwa bien. Akumbuke kumpromote mwanamke ni hatari maana akijua yupo juu yako ni mwanzo wa kuchepuka na matawi yake.
 
Hahahahaha kabila kulitaja niinshu....ila wanawake wakabila letu wanatabia ya Ubishi ,kutafuta superiority ,yaaan hawanaga speed governor mdomoni na kichwan mwao....yaaan wanakupasua kichwa ingali bado
Sawa, maana na kabila langu huwa linasemwa hivo, na Kweli wanawake wengi wao wako hivo, ila wapo wachache kama mie tunatafutaga maneno ya kuongea
 
Sawa, maana na kabila langu huwa linasemwa hivo, na Kweli wanawake wengi wao wako hivo, ila wapo wachache kama mie tunatafutaga maneno ya kuongea
Hahahahaha ni PM kabila lako nijue km wote tunatoka sehem moja
 
Tuambieni Basi na wanaume wanasheria wako hivo au wenyewe wako vizuri, nipo njiani kuelekea huko kwa mwanasheria Mungu akipenda [emoji18]
 
Ukithubutu kuleta hii hoja utafunguliwa vifungu vya sheria plus katiba alafu akwambie unamnyima freedom ya kufanya kazi kwa mujibu wa kifungu 1(a) cha sheria ya kazi na haki za binadam.... Ukiendelea kubisha jua kesho unapelekwa polisi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee
 
Tuambieni Basi na wanaume wanasheria wako hivo au wenyewe wako vizuri, nipo njiani kuelekea huko kwa mwanasheria Mungu akipenda [emoji18]
Wale wale tu ujuaji mwng ukubali kupelekeshwa wanataka sheria mpk ndan yan
 
Hapa kuna ka ukweli.....kwa sasa ameshakuwa na network kubwa na wakubwa...hivyo labda naniona kapuku ingawa nilimlea
Mwanamke wa hivyo, unatakiwa kwanza uone mshahara wake kama kitu kidogo sana kwako, akija anakwambia amepata au amepiga dili hata iwe ya bil. 1 kamwe usioneshe umeshoboka na hizo pesa mpe hongera then endelea na mambo yako usimfatilie sana, akiona kimya atakuja kukomba ushauri namna ya kuzitumia then mpe jibu simple na la kimtego "Wewe ulikua unadream kufanya nini na hizo pesa" then endelea na hamsini zako. Sio mwanamke anapata pesa unaanza kupanga budget zako mara uwatumie ndugu zako kwenye pesa za mwanamke, hapo lazima uonekane boya.
 
Tatizo kubwa la sisi waafrica ni kutaka kumbadilisha mtu aishi unavyotaka ndo ufurahi.
Tunatajikiwa kujua kuwa kila mmoja hupigania furaha yake ya ndani, hivyo tusijaribu kukinzana naye maana atakuona kama unamnyanyasa.
Ukiona matendo ya mtu hayaendani na furaha yako chukua plan B ambayo itaendelea kukupa furaha.
Kumbuka hii haiwahusu watoto maana wao wanahitaji furaha kutoka kwako
 
Kweli my learned Sistaa kakushika pabaya
Mkuu umeoa mke au professional yake
 
Mwanamke wa hivyo, unatakiwa kwanza uone mshahara wake kama kitu kidogo sana kwako, akija anakwambia amepata au amepiga dili hata iwe ya bil. 1 kamwe usioneshe umeshoboka na hizo pesa mpe hongera then endelea na mambo yako usimfatilie sana, akiona kimya atakuja kukomba ushauri namna ya kuzitumia then mpe jibu simple na la kimtego "Wewe ulikua unadream kufanya nini na hizo pesa" then endelea na hamsini zako. Sio mwanamke anapata pesa unaanza kupanga budget zako mara uwatumie ndugu zako kwenye pesa za mwanamke, hapo lazima uonekane boya.
Nilishaitumia sana hiyo trick,nilishaliona hilo.....huwa ananipa hizo stori mi namwitikia tu....na sifuatilii kabisa....kasoro zile dili ambazo tulipiga wote,akanishirikisha ofcourse lazima nifauatilie...ila yeye ana alikuwa ananipa updates
 
Duh sijawahi kuona mtu mbishi kama huyu mke wangu tupo kwenye ndoa na mke wangu mwanasheria miaka zaidi ya kumi mwanzoni alikuwa akileta ubishi na mashindano nilikuwa namdunda hasa.

Lakini baadaye ikawa inanicost mwenyewe sababu ataugua wiki nzima mimi ndiye ilinibidi niwe nina mtake care hospitali nk hasa kipindi alichokuwa na mtoto mchanga kwa hiyo hata shughuli zangu zikawa zinaathirika pia nikaamua kum ignore mke wangu kila kitu anataka tuwe sawa.

Hataki kupika sababu anasema nayeye anafanya kazi (hata weekend anasema anapumzika) ,hafui kabisa ,kitanda hatandiki mambo yoote haya anafanya house girl ukimgusia juu ya lolote katika hayo mtakesha kugombana na ataleta mambo ya kubalance kati yake na yangu.

Hivyo unajikuta unakaribia kumdunda unaachana naye kwa hiyo nikaamua kuwa mlevi ili nimpotezee kabisa haya yote nimeshawaeleza mpaka wazazi wake lakini haijasaidia kitu yeye muda wote ni mambo yake ya corporate/official nk nk....dinner nyingi , meetings nyingi

Sasa nimefikia mahali sijui anarudi saa ngapi au kama yuko home atatoka saa ngapi yote hiyo anasema yuko busy na kazi/wateja anaweza kupigiwa simu hata saa tano/sita usiku atakwambia wateja hao kama vipi nipeleke ukijaribu kumzuia ni maneno ya kejeli kwenda mbele ni kwamba sasa ananipanda kichwani kiburi ,dharau ndiyo mpango mzima.

Ukiangalia kampani yake yote ni wanasheria lakini wameshaachika hawana ndoa tena au hawaoleki tuna watoto wawili nafikiria kumtimua kwani amenikuta na maisha yangu hapa na yeye nikamlea tangu hana kazi mpaka kapata kazi na sasa kapata jeuri bahati mbaya zaidi nimeacha pombe hivyo napata maumivu mara kumi zaidi.

Akili yangu iko hatua za mwisho za kufanya maamuzi ningependa kupata uzoefu kutoka kwa wenzangu walioingia kwenye chaka hili au kuna sehemu nilikosea? karibuni Rock City,Mwanza

pole hao ni presher cooker.....subiri atakupeleka mahakamani mpeane talaka mugawane kila mlichochuma au ulichochuma ukiwa nae au kabla ..hichi ndicho kinachofuata
 
Piga chini mkuu japo najua ni upo katka situation ngumu xana life is too short now days then unateseka hivyo
 
Pole sana mkuu,hapo huna mke ila umepata mtu wa kukuzalia watoto.Tatizo anashindwa kujua majukumu yake kama mama akiwa nyumbani na hii haiangalii shule yake au cheo chake kazini,tatizo la kutojua majukumu yako nyumbani iwe ni baba au mama huwa inasababisha ndoa nyingi kuwa na misukosuko na hata kuvunjika .Omba sana mungu ambadilishe mkeo ajitambue wajibu wake kama mama.
 
This is very true......
 
Back
Top Bottom