Kwa walioa/olewa na wanasheria tupeane uzoefu hapa

Kwa walioa/olewa na wanasheria tupeane uzoefu hapa

Ukithubutu kuleta hii hoja utafunguliwa vifungu vya sheria plus katiba alafu akwambie unamnyima freedom ya kufanya kazi kwa mujibu wa kifungu 1(a) cha sheria ya kazi na haki za binadam.... Ukiendelea kubisha jua kesho unapelekwa polisi...
Hahahahaha aiseeee ,niliwahi kuitwa mkoloni kwasababu ya misimamo yangu.

Shortly nikwamba mpaka nakufaa ,sijafata uanasheria ,ualimu ,unesi ,sijafata kazi zako Mimi ,Mimi nmekufata wewe km we ,

Nauwapo ndani mwangu lazima uwe wewe km weee.

Mkuuu kinyume nahapo utakua mlevi namwisho utakufa siku sio zako.
 
Umemdekeza mno huyo, mimi mke wangu mwanasheria sijawahi kumpiga hata siku moja, sijawahi kumtukana kiufupi hatujawahi kukorofishana kiasi kikubwa, ila ana adabu zote anapika, anafua, anadeki na penzi tamu tunapeana kila siku. Huyo atakua anakiburi kwa sababu labda amekuzidi kipato, au umewahi kukosa misimamo kwenye mambo yako. Be gentleman hawa viumbe hawatokusumbua hata siku moja.
 
Hawa huwa wanatakiwa uanze nao mnyoosho kwa kwenda mbele...kuonesha utofauti na majukumu toka mnaanza kuwa pamoja....
Wengi wanakosea kwa kuwaonesha udhaifu hao wanasheria .......hao so wanawake au wanaume wa kuishi nao maisha laini...
Mtadumu ikiwa tu hutajisahau!
 
Piga Chini kabla hujaleta Murder Case ..Sasa kama Ofisini kote wameachika na yeye ndiyo yupo Kwenye Ndoa Pekee yake unadhani kuna salama hapo???

Mkuu watoto wawili ni Wengi watakufariji Maisha ya Siku hizi ukiwaendekeza hawa viumbe unaweza jikuta unanafanya dhambi ambayo haina Msamaha.. Wewe Weka wazo mezani kuwa kwa kuwa jitihada zote za kumrekebisha zimeshindikana basi uamzi uliyopo ni bora ijulikane huna Mke kuliko kuwa na mke asiyekuwa na heshima Ndani ya Nyumba.

Kwa anayokutendea na kama Wazazi wanajua huna sababu ya kuingia kwenye dhahama ya mauti ilihali unaweza kuiepuka. Anzisha mahusiano na house Girl kwa kuwa huyo ndiye anayefanya kazi za mama Nyumbani iwe kigezo cha yeye kusepa.

Mkuu karibu Dodoma.
(house Girl) huu ushauri haufai kabisa....... kumkaza HG ni mbaya sana........weka fikra zako kwako wewe mwenyewe,,, jiulize wewe ni nani? na kwann upo hapo......kabla ya kutafakari yeyote even your kids.........ukisha irudisha akili yako kwako.......anza kupanga na kupangua ni njia ipi itakupeleka kwenywe furaha.....then furaha hiyo ishriki na nani....your choice.....songa mbele bro.......kumbuka watoto wako ktk kila sala......wanawake ni wakora sana....
 
Mkuu, nasikitika kusema kwamba haujaoa mke hapo, bali umeoa mwanasheria.
Sheria namba moja ya mke ndani ya ndoa ni UTII, na kama mke akikosa utii....basi ujue una tatizo kubwa ambalo litakugharimu katika maisha yako yote.
Nakushauri tu kwamba chukua hatua ambayo kwako itakua ni njema na ambayo moyo wako utakua umeridhia for the suck of your life and future
 
Huna haja ya kuteseka na huu ulimwengu kiasi hicho, kwa yote uliyosema hilo unalolishikiria na kuliona lipo "mapenzi" mwenzako alishayachoma moto zamani sana.....huyo hakupendi, utanisamehe kama nitasema ulikosea kwenye kuoa....maana hata kama yupo busy na kazi kiasi gani alitakiwa kutenga muda kwa ajili yako kama anakujali. Kuwa makini usije ukaishia kupata kesi ya kuua au ukajiua mwenyewe, tafuta njia sahihi ya kumuweka sawa kama imeshindikana achana nae angalia ustaarabu mwingine......kama ni mkristu, huo ni MSALABA wako kamanda beba na songa mbele.
 
Wewe Dada Kwenye Mada inayohitaji Msada acha kuongea Uongoooooooooooo.. Kwa unavyoheshimika humu kuleta Mzaha wa namna hii unakuwa unawakosea watu, Not happy with your comment japo ni haki Yako.

Hata mimi nime mmaindi sana ....analeta mzaha kwenye mambo serious
 
Mkuu, nasikitika kusema kwamba haujaoa mke hapo, bali umeoa mwanasheria.
Sheria namba moja ya mke ndani ya ndoa ni UTII, na kama mke akikosa utii....basi ujue una tatizo kubwa ambalo litakugharimu katika maisha yako yote.
Nakushauri tu kwamba chukua hatua ambayo kwako itakua ni njema na ambayo moyo wako utakua umeridhia for the suck of your life and future
Mkuuu naomba nikurekebishe hapo Suck ungeweka sake Yaani ukimanisha " For Sake of Your Life''
 
(house Girl) huu ushauri haufai kabisa....... kumkaza HG ni mbaya sana........weka fikra zako kwako wewe mwenyewe,,, jiulize wewe ni nani? na kwann upo hapo......kabla ya kutafakari yeyote even your kids.........ukisha irudisha akili yako kwako.......anza kupanga na kupangua ni njia ipi itakupeleka kwenywe furaha.....then furaha hiyo ishriki na nani....your choice.....songa mbele bro.......kumbuka watoto wako ktk kila sala......wanawake ni wakora sana....
Hahaha Mkuu sawa ila sasa kama Mwanamke anaondoka Saa tano Usiku halafu anakwambia Umsindikize Yaani ukamdrop anaenda kuonana na Client then which means huruhusiwi hata kuwasogelea wanapokuwa wanaongea halafu watoto kwa kipindi hicho wamebaki na House Girl... What do you expect ? What are valuable reward your Made is deserving ? Yaani hata Jina la kumita house girl halifai tena? Kwa kuwa ndiye Mtimiza Majukumu ya Ndani ya Nyumba kuliko hata Huyo Msomi? She deserve more than what you are paying her. Kikubwa huyo Dada anachezea bahati.... Ila kwakuwa ana watoto anataka kuwatumia watoto kama Kinga...

Ila hilo wao kuwa Wakora Duuu... Umeniach hoi hahah
 
Umemdekeza mno huyo, mimi mke wangu mwanasheria sijawahi kumpiga hata siku moja, sijawahi kumtukana kiufupi hatujawahi kukorofishana kiasi kikubwa, ila ana adabu zote anapika, anafua, anadeki na penzi tamu tunapeana kila siku. Huyo atakua anakiburi kwa sababu labda amekuzidi kipato, au umewahi kukosa misimamo kwenye mambo yako. Be gentleman hawa viumbe hawatokusumbua hata siku moja.

Hapa kuna ka ukweli.....kwa sasa ameshakuwa na network kubwa na wakubwa...hivyo labda naniona kapuku ingawa nilimlea
 
Hahaha Mkuu sawa ila sasa kama Mwanamke anaondoka Saa tano Usiku halafu anakwambia Umsindikize Yaani ukamdrop anaenda kuonana na Client then which means huruhusiwi hata kuwasogelea wanapokuwa wanaongea halafu watoto kwa kipindi hicho wamebaki na House Girl... What do you expect ? What are valuable reward your Made is deserving ? Yaani hata Jina la kumita house girl halifai tena? Kwa kuwa ndiye Mtimiza Majukumu ya Ndani ya Nyumba kuliko hata Huyo Msomi? She deserve more than what you are paying her. Kikubwa huyo Dada anachezea bahati.... Ila kwakuwa ana watoto anataka kuwatumia watoto kama Kinga...

Ila hilo wao kuwa Wakora Duuu... Umeniach hoi hahah
siku zote wanawake hutumia watoto kama kinga.....unatakiwa uwe very very smart kujichomoa.......hujaambiwa umsindikize.......mkeo unamsindikiza hospital tuuu....kwingine unamwambia gari ina mafuta just fika salama.....
 
Ukithubutu kuleta hii hoja utafunguliwa vifungu vya sheria plus katiba alafu akwambie unamnyima freedom ya kufanya kazi kwa mujibu wa kifungu 1(a) cha sheria ya kazi na haki za binadam.... Ukiendelea kubisha jua kesho unapelekwa polisi...
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Serious , unajua unapokoswa furaha nakuishia kua MTU wakujiuliza maswali muda wote hata utendaji wamaisha yako unapungua.

Watu sasa wanawaza maisha ,tunaitaji furaha ndani yafamilia ili itusaidie kusonga mbele Alafu eti iyo Furaha iwe niyakwako tu kisa kazi yako ,nani kasema ????.

Ndomaana kwanza sitooa mwanamke wakabila langu.
Wewe kabila gani mkuu, na kwa nini hupendi wanawake wa kabila lako
 
Back
Top Bottom