Fimbo ya Musa
Member
- Jul 21, 2012
- 94
- 13
Mimi pia ninaye mmoja,na wife pia anajua. Muda wa mtoto kuanza shule umefika. NAOMBA USHAURI: Nimchukue nikae nae au niwe namtumia ada na matumizi mengine akiwa kwa mama yake?
Unaonaje na wife atafute na yeye wake halafu akuletee umtunze
huyo mtoto ulimpata kabla hujaoa au kabla?kama ni kabla umchukue ila kama ni baada,mkeo atakuwa anamwangalia roho inamuuma kwa jinsi ulivyomcheat
nilimpata kabla ya kumwoa wife
kwani huko aliko kuna mapungufu gani ukilinganisha na uliko wewe...
mapungufu nivigumu kuyajua coz mtoto bado mdogo hawezi kunieleza matatizo yake. Pia naonane mara chache kutokana na majukumu yangu
Basi ongea na wife mmchukue.nilimpata kabla ya kumwoa wife
kwa kuwa mkeo anajua kuwa na busara ongea nae kwa upole wakati ana amani amepumzika mshirikishe halafu muombe ushaur kwamba unaonaje kwa hili,tutasave garama akiwa hapa na pia tutafuatilia maendeleoyake kwa urahs,utapata jibu zuri ukimheshmu mkeo na atamlea vzur utafurah.Mimi pia ninaye mmoja,na wife pia anajua. Muda wa mtoto kuanza shule umefika. NAOMBA USHAURI: Nimchukue nikae nae au niwe namtumia ada na matumizi mengine akiwa kwa mama yake?
nilimpata kabla ya kumwoa wife
Vp kama wewe ndio ungekua mkewe?Nakushauri umuoe huyo mama mtoto ili uwe na directo access to ur kiddo. Mkeo hawezi kukataa, i promise you.
Analelewa na nani... mama au ndugu/jamaa mwingine?
kwa kuwa mkeo anajua kuwa na busara ongea nae kwa upole wakati ana amani amepumzika mshirikishe halafu muombe ushaur kwamba unaonaje kwa hili,tutasave garama akiwa hapa na pia tutafuatilia maendeleoyake kwa urahs,utapata jibu zuri ukimheshmu mkeo na atamlea vzur utafurah.