Kwa wale wenye watoto nje ya ndoa!

Kwa wale wenye watoto nje ya ndoa!

mama yake

Muache aendelee kulelewa huko huko... kumleta kwako kunaweza kuanzisha mlolongo wa matatizo mengine kwa mtoto, na kwako pia
pamoja na majukumu yajo, jitahidi uwe unamuaona mtoto na mama yake mara kwa mara. Mjadili maendeleo ya mtoto hasa makuzi na shule...

Ni hayo tu
 
kama ulimpata kabla ya ndoa.....

It means mkeo anajua....

Sasa...

Kama mama wa mtoto karidhia mwanae alelewe na mtu mwingine na kama mkeo karichia toka rohoni kumlea kama mwanae wa kumzaa mchukue kama kuna upande wowote ambao haujaridhia muache mtoto na mama yake upeleke matumizi

asante kwa ushauri
 
Ndo maana tunaambiwa tusifanye mapenzi kabla ya ndoa.
Leo mtoto ndio anapata taabu kwa starehe ya wazazi wake.
Anyway, mtoto ana haki ya msingi ya kulelewa na wazazi wake wote wawili provided kifo hakijamchua yeyote.
So unatakiwa uishi pamoja na mtoto wako pamoja na mama wa mtoto wako.

unaumri gani wew
 
Mimi pia ninaye mmoja,na wife pia anajua. Muda wa mtoto kuanza shule umefika. NAOMBA USHAURI: Nimchukue nikae nae au niwe namtumia ada na matumizi mengine akiwa kwa mama yake?
Usimtoe kwa mama ake please. Yeye ndio aliebeba tumboni sio wewe.mpelekee tu hiyo child support basi .Hongera kwa kuwa responsible na mtoto wako wengine wanakimbiakimbia
 
Muache aendelee kulelewa huko huko... kumleta kwako kunaweza kuanzisha mlolongo wa matatizo mengine kwa mtoto, na kwako pia
pamoja na majukumu yajo, jitahidi uwe unamuaona mtoto na mama yake mara kwa mara. Mjadili maendeleo ya mtoto hasa makuzi na shule...

Ni hayo tu

asante kwa ushauri
 
We unaonaje? Mwache kwa mama yake ili amani itawale isije ukawasha moto bure.
 
Kama ulimpata kabla basi zungumza na mkeo ninauhakika lazima atakubali kwasababu alikua anajua anaolewa na mwanaume wa aina gani.

Ila kabla haujamwambia jaribu kutafakari moyo wa upendo wa mkeo kwa watu wengine ukianza na ndugu zako,wake, marafiki na majirani.
Hiyo itapelekea kufahamu kama mwanao atakua mikobno salama ama la.

Kwamaana muda mwingi mtoto atakua anautumia na mama zaidi yako.

Tafakari hilo kabla ya kuamua, kila la kheri.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ongea na mama mtoto na mkeo,wote wakiridhia sawa.usimchukue mtoto kiubabe na usimpeleke home kwa mkeo kwa kulazimisha
 
Unaonaje na wife atafute na yeye wake halafu akuletee umtunze

Kwan jamaa nae alitafuta akiwa kwny ndoa?,akili nyngne bwana utadhan matope...mi nlitarajia umshaur mke aachike then atafute mtoto ndo aingie kwny ndoa tena.
 
Nakushauri umuoe huyo mama mtoto ili uwe na directo access to ur kiddo. Mkeo hawezi kukataa, i promise you.

Haha haaaaa kingasti.. (Mkewe hawezi kukataaa. Eee??y


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Akikaa kwa mama yake atakuwa salama zaidi.



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mama yake

Pamoja na kuomba ushauri kwa mkeo,mama wa mtoto pia ana nafasi yake ktk maamuzi. Kama hana tatizo kuhusu kuendelea kukaa nae basi akae nae upeleke matumizi. Nae ni mwanae pia huwezi mchukua tu kisa wewe na mkeo mmeamua!
 

Ushawahi kuona mtu akipata Tatizo anaita baba.Always mama mama .Usiombe kubeba
Mimba unawaza mtoto akizaliwaa atakuaje.atakaa,tembea,kimbia,wanawake tukizaa maisha yetu yooote mtoto .Leo hii umchukue tuu kisa ,.Nilipozaa tuu maisha yangu yalibadilika mnoooo.Club no ,sherehe no,nawaza wanangu tuuu.Leo hii eti ninyang'anywe tena duh
 
abaki kwa mama yake tekeleza majukumu yanayohitajika kwa mtoto na mamake ikiwezekana
 
mimi ninao kibaao, Uwongo mbaya nilikuwa na tabia isiyofaa, lakini bahati nzuri wote mamsapu anawafahamu, na bahati nzuri sana woote wana uwezo mkubwa kabisa masomoni na mimi najitahidi kuwasomesha bila hofu kwani wanajuana na ndugu zao na mara kwa mara wanakuja likizo nyumbani na wengine wamehamia kabisa .
 
Mtumie matumizi huko huko kwa mama yake na uwe muwazi kwa mkeo kwa kila unalofanya.
 
Back
Top Bottom