MISS CDM
Member
- Feb 4, 2013
- 90
- 26
Kama mkeo alifahamu ishu ya mtoto mapema kabla hujamuoa basi mchukueni mkae nae maana 'alipenda boga na ua lake'....lakini hakikisha unakaa kikao na mama mtoto na mkeo ili mzungumze ishu za huyo mtoto kwamba huyo mama mtu ajue sasa mwanae anapata walezi wapya na ni lazima awaheshimu na kuwakubali na awapende.... sio mtoto akienda kwa mama anapewa mahirizi aje awawekeeni au anafundishwa kuja kuwafanyia jeuri na vitu kama hivyo.