Kwa wale wenye watoto nje ya ndoa!

Kwa wale wenye watoto nje ya ndoa!

hii mada inanihusu 100%....asanteni kwa ushauri.!
 
Mimi pia ninaye mmoja,na wife pia anajua. Muda wa mtoto kuanza shule umefika. NAOMBA USHAURI: Nimchukue nikae nae au niwe namtumia ada na matumizi mengine akiwa kwa mama yake?


we mwache mtt kwa mama yake mzazi bwn, kwani huko ana shida gani hadi umpe mtu mwingine jukumu la kulea mtt wakati mama yake yupo? ujue ukimleta tu hm hapo ndipo utakapofungua mlango wa matatizo kwny ndoa yako...na kwa nini umpe mtu mwingine tabu ya kulea wkt starehe mlikula wengine? hebu kuweni wastaarabu bwn, mkeo kujua una mtt haina maana kwamba yeye ndio amlee, mtt akae na mm yake mzazi, mambo ya kuitwa mama wa kambo ya kazi gani tena...mi silei mtt wa mtu bwn labda km mama yake amefariki au kuna matatizo genuine sio kuniletea tu...mara nyingi sn ndoa inayoishi na mtt wa kambo haina amani kbs, unakuta mm anamlalamikia mtt mkorofi, mtt naye analalamika mm ananinyanyasa yani ilimradi vurugu mwanzo mwisho
 
mlete nyumbani ili aanze kuzoeana na ndugu zake mapema.
 
hujui neno la Mungu wew! Maana hata Yesu alianguka mara tatu chini ya msalaba
na kuanguka kwa Yesu chini ya msalaba mara tatu inatufundisha kuwa sisi tu wadhaifu na twaweza kuanguka dhambini.
 
Ushawahi kuona mtu akipata Tatizo anaita baba.Always mama mama .Usiombe kubeba
Mimba unawaza mtoto akizaliwaa atakuaje.atakaa,tembea,kimbia,wanawake tukizaa maisha yetu yooote mtoto .Leo hii umchukue tuu kisa ,.Nilipozaa tuu maisha yangu yalibadilika mnoooo.Club no ,sherehe no,nawaza wanangu tuuu.Leo hii eti ninyang'anywe tena duh
acha tu na mtoto alivyo mtam hadi raha.......kila unapoenda watamani uende nae......
 
mmeshauri au? naona swali juu ya swali. Kubaliana na mkeo kwanza. Kama ndiyo do it, kama siyo, endelea kutuma matumizi tu. atakua
 
Ni kutoa huduma muhimu

Ndo umeshakuwa msemaji wake sio? Orait.....japo siwezi kutofautisha kati ya huduma muhimu na isiyo muhimu lakini ni huduma?
 
Yote katka yote hakikisha hapati tabu, kwani yeye hana hatia ni kwa ajili ya machezo yako na mama yake ndio yamemleta hapa duniani. so hakikisheni anapata malezi yanyofaa na asije juta kuzaliwa.
 
Ndo maana tunaambiwa tusifanye mapenzi kabla ya ndoa.
Leo mtoto ndio anapata taabu kwa starehe ya wazazi wake.
Anyway, mtoto ana haki ya msingi ya kulelewa na wazazi wake wote wawili provided kifo hakijamchua yeyote.
So unatakiwa uishi pamoja na mtoto wako pamoja na mama wa mtoto wako.

Point!
 
mimi ninao kibaao, Uwongo mbaya nilikuwa na tabia isiyofaa, lakini bahati nzuri wote mamsapu anawafahamu, na bahati nzuri sana woote wana uwezo mkubwa kabisa masomoni na mimi najitahidi kuwasomesha bila hofu kwani wanajuana na ndugu zao na mara kwa mara wanakuja likizo nyumbani na wengine wamehamia kabisa .

Duh....kumbe tupo wengi eeh
 
Back
Top Bottom