Kwa wale wenye "MAJINI" vichwani au pembeni yao

Mzee ni add kweny hilo group namba zang hizo 0768174787
Mkuu kwa kukusaidia tu usiwe unafuata watu usio wajua ,na acha tabia za kuweka namba yako online wazi kama hapa,kwa hiyo namba yako information zako kibao umeziweka wazi pasipokujua the same kwa kumfuata huyu jamaa utaingia kwenye matatizo.Si kila kitu kinafaa epuka sana hawa watu wa kwenye mitandao jamaa yuko ki busijness zaidi,utaumia mkuu.Mtegemee Mungu wa kweli achana na elimu hizi za siku za mwisho.
 
Biashara gani ninayoifanya mkuu, ya kununua namba za whatsapp au?
 
Elimu hii unaoitoa wap
Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita.

Viumbe hawa wana tabia kuu mbili;

Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa wanafanya mapenzi, wanazaa na wanakufa.
Tabia nyingine ni ya Kimalaika ambayo ni kwamba wana uwezo wa kujigeuza katika umbo lolote wanalotaka na vile vile wanaruka na kwenda wanakotaka au kupita wanakotaka bila kutumia chombo chochote.
Taifa la Majini limegawanyika katika makabila zaidi ya Milioni Sabini na na sehemu na wana uwezo wa kujifunza lugha yeyote wanaoitaka. na umbile lolote wanalolipenda au la kukupumbazia.

Idadi ya Majini ni kila Binadamu mmoja kuna Majini 360 na zaidi kwa copy yake moja wanaishi katika Majumba yetu, kwenye Miti, Majangwani, Kwenye Mapango na Sehemu zenye Misitu Mikubwa.

Majini wako katika aina Mbili (2);
Maruhani na Mashetani:
Hizi aina mbili hazina tofauti sana na aina mbili za binadamu yaani wema au wabaya.

Majini aina ya kwanza:
Tunaweza kuwaweka katika kundi la maruhani kwa kuwa hawa ni Majini wema ambao wanamtii Mwenyezi Mungu na wanawasaidia Binadamu katika mambo mengi na wengine humtii mwenyezi mungu na kuishi kivyao mbali bila kuingiliana na wanadamu.

Aina ya pili ya majini:
Hawa tunaweza kuwaita mashetani kulingana na sifa yao ya kuhakikisha maovu yanaendelea na kuzidi duniani na kuendelea kuwatesa wanadamu kwa kujifurahisha au kwa kumtumikia Ibilis,
Mashetani ni Majini Waovu ambao ni wakorofi na wanawaletea Watu madhara na Matatizo mara kwa mara.

Majini Ni Viumbe Ambao WAPO Kama WANAADAMU Kwa kuwa na free wills yani maamuzi ya uhuru kwamba naamini au siamini iwe katika mungu au shetani.. sita waelezea sana kwa maana wameshaelezewa sana ila mimi napiga mng'arisho au msasa ili ufahamu wa watu uzidi kuongezeka..

VIUMBE Hawa wamegawanyika makundi mawili wapo waliomuamini mungu mmoja hawa huitwa marohani na wapo ambao hawajaamini wanamfuata shetani pia wao wanaitwa mapepo wachafu au majini wabaya mradi tu wawekwe kwenye ubaya ubaya..

ila wao kwa jina la kundi tunaweza kuwaita walioasi au waislamu huwaita makafiri wa kijini na wakristo huwaita mapepo wachafu.

Pepo wachafu au makafir wa kijini kwa ujumla majini waliumbwa kabla ya wanaadamu na walipewa machaguo ya uhuru wengi wao wakamuasi mwenyezi mungu ndio amri ikashuka kwamba waangamizwe wote na malaika viumbe watiifu wakashuka na kuja kuangamizi majini wengi..

Lakini hawakuangamizwa wote kwa maana wengine walipewa uwezo na mwenyezi mungu kuingia popote vyovyote hivyo waliingia majabarini chini ya mabahari na wengine waliingia katika matumbo ya wanyama..
.
vile malaika hawakupewa uwezo huo wakarudi na kumtaarifu mwenyezi hali halisi ndipo wakaruhusiwa kuwaacha wale waliokimbia....

Baadhi waliogopa sana kwa kuona mwenyezi mungu ni mkali wa kuadhibu wakaanza kutubu ndio hawa huitwa leo Majini wema Au Maruhani..

Waliobaki wengine walijiona wenye nguvu na waliweza kujihisi wamemkimbia mwenyezi na Wakaendelea Kufanya Maasi Yao...

kitu kingine watakiwa kujua majini wapo mara 300 yako wewe yani kila binaadamu wapo mara idadi hiyo yake Viumbe Hawa huishi miaka mingi wengine hufika hadi miaka 1000/-

majini wema hawamkalii mtu kwa ubaya humpenda na kutamani kumsaidia.. hawampotoshi imani yake alionayo humuangalia tu nakumsaidia mambo mengi tu bila kujijua kama mtu kufaulu vema bila kujijua wala kusoma sana, kupendwa pendwa na watu, kupenda mambo ya kiroho zaidi kuliko ya kimwili, humfanya mtu awe na huruma.

Kumletea ndoto njema akilala na humpunguzia maumivu ya mwili bila kujijua.. kumfanya afikirie jambo jema mtu hadi alifanye.. hawana roho mbaya hulia pale unapofanyiwa ubaya wengine hupanda kichwani na kulia sana pale unapouziwa wengine hukupitishia kitu kama hope rohoni au barafu unajiskia umekaa sawa na kusema one day yessss! huomba pamoja na wewe pale unapotupa malalamiko yako kwa mwenyezi mungu kwa imani yako....

majini wabaya au pepo wachafu humfunga mtu riziki zake na humrudisha nyuna mtu mambo yake na kumbaka kumfedhehesha mpaka akaanza kumkufuru mola wake, na kuanza kujihusisha na ushirikina ndio anaona anafanikiwa humnyanyasa ndotoni kwa kuota anakimbizwa anapigana anatukanwa.. anadhalilishwa anaumwa anateswa na akiamka anakuwa hana raha... humjaza mtu ujasiri anapotaka kufanya tukio chafu....

jinsi ya kujijua kama una jinni:

MSAFI/MCHAFU AU Huna tu

kwa kuwa hawa ni viumbe tuwafananishe na bacteria wanapokuingia huwaoni lakini madhara mwili unapata...

ZIFUATAZO NI DALILI ZA KUJUA KAMA UNA JINI MSAFI AU MCHAFU KIIMANI
..

1: Kuumwa kichwa kisichojulikana mwanzo wala mwisho mradi tu kinauma kila siku muda wowote

2. Uzito ktk Mabega au hata kichwani kwenyewe.

3. Kuota vitu vya kutisha usingizini

4. Kuchukia kuona au kuolewa km bado hujaoa au kuolewa.

5. Kwa alie Oa au kuolewa huchukia Tendo la ndoa

6. Kupatwa na maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa au baada

7. Baadhi ya wanawake hukosa Maji maji katika UKE wakati wa kufanya tendo la ndoa na hivyo wakati mwingine hupatwa na michubuko endapo lita lazimishwa tendo hilo

8. Baadhi ya wanaume hushindwa kumalizia vizuri tendo la ndoa au kumaliza haraka zaidi na kisha kupatwa na usingizi Mzito Mara tu baada ya kumaliza Tendo la ndoa.

9 Km una mke au Mme hutaki kufanya nae tendo la ndoa na usiku huo ulio kataa unaota unafanya na mtu mwingine.

10.Kuwa na hasira za ajabu wakati wa kuamka asubuhi.

11.Wakati mwingine huona km kuna mtu kakuinamia wakati ukiwa umelala taa imezima(kiza)

12.Wakati mwingine huhisi km kuna mtu anatembea ndani ya chumba ulicho lala. Ukijaribu kuwa makini kumsikiliza au kuwasha taa humuoni mtu yeyote.

13: kujilaumu hadi kuhisi kulengwa na machozi kwa kosa dogo tu

14: kuchukia kutumwa na hupenda kujiajiri

15: kuchukia sana dhambi

16: ukikaa sehemu ya kimya sana unasikia watu wanaongea kichwani

17: kuota unasali kila mara hali ya kuwa kama unajilazimisha kusali ikiwa imekupita hata sala moja

18: kustuka saa nane usiku baada ya kuota umeamshwa kusali au adhana ya kwanza kwa mwislamu

19: kuota unamuombea mtu na mwili wako kujaa nguvu kwa mkiristo

20: kuota unaongea na kiumbe asiekuwa binaadamu either mnyama au ndege..

zipo hizo ni baadhi tu.. hii ni fursa kwako wewe mwenye majini kujitambua je ulionayo ni mema au mabaya? na unayatumia au yanakaa tu? unayatoa au unabaki nayo unaongeza elimu ili usimkufuru mwenyezi kwa kuwa na majini....

karibuni
P.M Namba Yako Tutengeneze group ya WHATSAPP Ya watu wenye maruhani tufundishane namna ya kuwatumia vema ili wasitupotoshe ikiwa unao na unajificha basi kumbuka huwezi kukimbia kivuli chako..

Walikupeleka wapi walikufundisha nini? yapi ya ajabu uliyaona? yapi yalikufanya ukainua mikono juu ukasema kweli mwenyezi umeumba hawa viumbe? haya na mengine mengi tutayaangalia humo kwenye group.

kuna watu hawana na wanawish wawajue na wawe nao nafasi zipo 15 tu na kuingia kwenye group jini wachafu hatuta fundisha...
. 30 wale wenye marohani wasiojuwa jinsi ya kuwaongoza na kuwatumia...

karibu tujadiliane....

#Rakims
 
Acha kubabaisha. ruhusa ya kuendesha gari inapatikana hata ktk katiba ya jamuhuri ya muungano wa TZ ya mwaka 1984. na hata dini hazijakataza kuendesha gari.

kama unajibu ni wapi umepata ruhusa ya kula kitimoto wewe niambie ili nami niijue, kama hujui kitu poteaaaaaa! usijaze sava hapa. na naamini wote walao kitimoto kwa tiketi ya ukiristo ni fool.s maana hakuna hiyo ruhusa. na kama ipo naihitaji.
Wewe NI mpumbavu na mjinga kwa wakati mmoja...kwani ruhusa ya KULA wali na chapati umeitoa wapi?mi toka Niko tumboni mwa mama yangu nakula kitimoto....na nitaendelea KULA kitimoto mpaka MBINGUNI....NYANI WEEE
 
povu la nini mkuu!
 
Japo uzi ni wa muda kidogo ila nimeona nichangie ni kwamba , hakuna jini mwema anayeingilia mambo ya binadamu yeye kaumbwa ni kiumbe na sisi ni viumbe nia ni moja tu kumuabudu mwenyezi mungu.

Nina wasi wasi wewe jamaa ni mganga wa kutumia majini , na kaa ukijua kuyatumia majini kwa kutaka yenyewe au kwa kuyalazimisha ni moja ya shirki na shirki huwa haisamehewi.

Na mwenyezi mungu anajua zaidi.
 
Unaelewa nini unaposkia au kusoma neno shikri?
Tuanzie hapo

Rakims
 
Mkuu na swali langu out of topic lkn nahisi apa Ni mahali panapofaa Kuna jamaa yangu mmoja alienda kwa mtaalam akaambiwa ameibiwa kivuli Cha kwa nguvu za Giza Swali je kivuli kp alichokuwa anazungumzia na kina kazi gn kwa mtu na je kama hakipo hasara zake Ni Nini...nitashukuru Kama utanijibu
 
Haina tofauti na mtu aliyetolewa msukule lakini lengo la hawa waliosema hapo walilenga kivuli ni nyota yake na kwa maneno mengine nyota kwa hawa waswahili wanaita bahati hivyo bahati yake inakuwa inatumika na mtu mwingine hali ya kuwa yeye anabaki kuhangaika na maisha ya kila siku

Lakini Kuna uwezo wa kurudisha hiyo nyota yake mtaalam?
 
Unaelewa nini unaposkia au kusoma neno shikri?
Tuanzie hapo

Rakims
Niende moja kwa moja

shirki ni kufanya kitu katika aina za ´ibaadah kumfanyia asiyekuwa Allaah .

Ibada zipo za aina nyingi zinazochukuliwa kutoka katika Qur-aan na Sunnah. Hivyo basi, yule mwenye kufanya kitu katika aina ya ´ibaadah hizi kwa asiye Allah, basi huyo ni mshirikina ambaye kafanya shirki kubwa inayomtoa katika Uislamu.

Mwenye kuchinja kwa ajili ya asiyekuwa Allaah, akaweka nadhiri kwa asiyekuwa Allaah, akasujudu kwa asiyekuwa Allaah, akamuomba asiyekuwa Allaah,akamtegemea asiyekuwa allah katika wafu na viumbe vilivyoko mbali, akawataka uokozi wafu,majini n.k., huyu kamshirikisha Allaah (´Azza wa Jall). Kwa sababu ´ibaadah kwa aina zake zote ni haki ya Allaah (Azza wa jall).

Jua kuwa hakuna jini mzuri anayeingilia maisha ya binadamu jini ni kiumbe kama mimi na wewe na ameumbwa kwa dhumuni moja na sisi ambali ni kumuabudu Allah pekee .

Unapotaka muongozo kutoka kwa majini either elimu au chochote hauwezi kufanya hivyo bila kuyaita au yenyewe yawe yamekukalia hii inamaanisha umemuona allah hana msaada kwako umeshindwa kutumia alivyokubariki navyo sasa unayafuata majini yakupe muongozo?

Kuna watu mnachafua dini kwa makusudi hakuna sehemu kwenye uislamu umeabiwa utegemee asiye allah.
 
Nimekusoma na kukupata vizuri sana, lakini maana yako ya shirki na hoja uliyochangia mwanzo ni vitu viwili haviendani japo vinafanana kwa kidogo

Rakims
 
Wewe unaelewa nini kuhusu shirki? Tuanzie kwanza hapo.
Shirki ni kuabudu chochote kisichokuwa mwenyezi Mungu kukitegemea kama muumba.

Kukiri kuwa hakuna Mungu isipokuwa chenyewe na kuomba au kusali kwa imani kama sanamu, mizimu, majini, jua n.k

Lakini kuwa karibu au kuzungumza na hivyo shirki yake inakuja kwenye kukiabudu.

Pia neno shikri sio uchawi.
Uchawi ni kitu kingine na shirki ni kitu kingine na pia shirki sio miujiza. Miujiza ni jambo lingine na shirki ni jambo lingine,

Achilia mbali Shirki na Ushirikina kwa waswahili wenyewe hawawezi kukupa maana ya utofauti wa maneno haya shirki ikisema maana yake ni kuabudu asiye kuwa Mungu na USHIRIKINA wanakwambia ni uchawi.

Hali ya kuwa ni neno moja likiwa na mitajo tofauti lakini linalazimishwa kuwa na maana mbili tofauti.

Rakims
 
Back
Top Bottom