Aqua
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 1,658
- 1,229
Mkuu kwa kukusaidia tu usiwe unafuata watu usio wajua ,na acha tabia za kuweka namba yako online wazi kama hapa,kwa hiyo namba yako information zako kibao umeziweka wazi pasipokujua the same kwa kumfuata huyu jamaa utaingia kwenye matatizo.Si kila kitu kinafaa epuka sana hawa watu wa kwenye mitandao jamaa yuko ki busijness zaidi,utaumia mkuu.Mtegemee Mungu wa kweli achana na elimu hizi za siku za mwisho.Mzee ni add kweny hilo group namba zang hizo 0768174787