Kwa wale wasio na...



Housegirl wako mwenye mvuto bado yupo?
 
Mi nawatakia happy Val to all JF members, and special thoughts to my JF friend list.

Keep it real. Na mwaka huu tuwakumbuke victims of physical and emotional violence, whether male, female or children. Be blessed all.
 
Nyie wadada, vidole na macho
Tusije shikana ubaya bure
Be warned!
Leo tutatoana roho kwa hivi vibabu, duhhhh vyenyewe vichache basi kaaaz kweli kweli,ningekutana na kimoja leo hata hili wigi kingenipatia hela ya kubadilisha
 
Mh Hii siku hiiii!! Nawatakia kheri iwaendee salama n happy
 
Jamani kwa kina dada na wamama mimi nina dawa ya kufanya dushelele zikwame na kuganda hata kama ana 4wd so mnakaribishwa ku-insure mali zenu!!!
mimi mtalaamu wa kunasua......pia nategua mitego,vigingi na vikwazo vyote......njooni mjihakikishie ulinzi wa uhakika
 
Easy!!! "BOSS nanihii mie sijisikii vizuri na nimekuwa katika hali hii sasa for more than a week naomba ruhusa nikamuone "DAKTARI" aniangalie kama sina tatizo kubwa" BOSS atakupa ruhusa tu maana weye ni mtendaji kazi mzuri. Wakati unasepa kwa minyato
lol! unamng'ong'a BOSS huku ukijisemea moyoni "Chezeya migenye kwenye siku ya wapendanao."



ahahahahhahahhahhahhaahahaah huu wimbo bana!
mh!NGOJA NINYAMAZE!
ila BAK na wewe mambo gani sasa haya!
wenzio tupo kazini sa hz!
ah!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…