ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 217
Jaman hebu tupige story basi,najua wote tusiolala tuna stress,kila mtu afunguke hapa stress zake tufarijiane
Sina stress nlilala mchana....semaaa uckike nkupunguzie strec
CCM waliahidi ajira kwani imekuwaje?tatzo langu nasaka kaz sipati yan mpaka najichukia
Jaman hebu tupige story basi,najua wote tusiolala tuna stress,kila mtu afunguke hapa stress zake tufarijiane
CCM waliahidi ajira kwani imekuwaje?
sijalala just becoz of arsenal na tunaongoza moja
Pole sana....CV zako plz
kuna ka chance unataka unipe?,ngoja niku PM
tatzo langu nasaka kaz sipati yan mpaka najichukia
Sijalala hapa...Dr. Slaa kanikosha sana leo....
Stress yangu hadi saa hii mechi ya ligi kuu Uingereza Man U Vs Everton (mapumziko), Man U hajapachikwa bao...yaani inauma sana....
Vp kwani?Sijalala hapa...Dr. Slaa kanikosha sana leo....
tatzo langu nasaka kaz sipati yan mpaka najichukia