Kwa wale wasio na usingizi tu!

Kwa wale wasio na usingizi tu!

Mtoto wangu ijumaa iliyopita alivunjika
mkono wa kulia sasa yuko Hosp mkono
ulikuwa umevimba sana.

Jumatatu alilazwa mkono wake ukaning'inizwa
juu ili uvimbe ushuke kesho madokta
wanasema watamfunga POP lakini leo

Ikifika saa sita asile chochote hadi kesho
asbh atakapofungwa hogo sasa nawaza
adha anzopatA na kesha sijui watamchoma
japo ganzi asisikie maumivu sana.

jamn pole sana,most of all kw mtoto wako,atapona tu,doctors are doing th best,tunamuombea
 
Stress yangu hadi saa hii mechi ya ligi kuu Uingereza Man U Vs Everton (mapumziko), Man U hajapachikwa bao...yaani inauma sana....

ha,ha,ha,ha,ha haya bwana,wanasema adui muombee njaa
 
Stress yangu ni huyu mdada nilompachika mimba kabla hatujaoana. yani najihisi kama nimeyakosea maisha. mda mwingine natamani mda urudi nyuma ili niweze sahihisha kosa hili.
 
polehh mwaego....life is a gigantic book with a lot of pages,while ur in a pursuit fo a job do othr thngs tht amek you happy o tht are productive,ie simamia mambo nyumbani kwenu vzur,make a garden,travel,participate zaid church km ni mpendwa,learn new thngs language,volunteer,tembelea ur relatives wa mbali ie bibi babu,ongeza elimu ie postgraduate,short courses,attend seminar and the like,and most of pray a lot,kukosa kazi isikunyime raha,life'z mo thn that

thanx umenifarij
 
Stress yangu ni huyu mdada nilompachika mimba kabla hatujaoana. yani najihisi kama nimeyakosea maisha. mda mwingine natamani mda urudi nyuma ili niweze sahihisha kosa hili.

pole sana,kubali tu hali halisi and mpende mtoto akue vzur,huwez jua atakuja kuwa nani in the future ,hajui chochote and t ws never his o her choice kuzaliwa,af next tym make use of studs znauzwa madukan
 
Mtoto wangu ijumaa iliyopita alivunjika
mkono wa kulia sasa yuko Hosp mkono
ulikuwa umevimba sana.

Jumatatu alilazwa mkono wake ukaning'inizwa
juu ili uvimbe ushuke kesho madokta
wanasema watamfunga POP lakini leo

Ikifika saa sita asile chochote hadi kesho
asbh atakapofungwa hogo sasa nawaza
adha anzopatA na kesha sijui watamchoma
japo ganzi asisikie maumivu sana.

pole sana brother,tumuombe mungu hali yake itengamae
 
Stress yangu ni huyu mdada nilompachika mimba kabla hatujaoana. yani najihisi kama nimeyakosea maisha. mda mwingine natamani mda urudi nyuma ili niweze sahihisha kosa hili.

ni mipango ya mungu,kamwe usipingane nayo,shukuru halafu songa mbele!
 
Mimi nipo macho namuwaza jamaa nilikuwa nae kaniambia eti anawahi nyumbani wanaweza kumwibia hakuna mtu ukizingatia anakaa katika flet ya juu! Mi nahisi kaoa ila anashindwa kuniambia anasingizia vibaka watapiga jordan. Hivyo nipo nipo tu natafakari
 
usimuwazie vibaya,mda mwingine unaweza kukuta anachosema ni kweli,labda ungefanya utafiti ugundue kama unalodhani ni kweli ama si kweli!
 
Back
Top Bottom