Kwa wale wasio na usingizi tu!

Jaman hebu tupige story basi,najua wote tusiolala tuna stress,kila mtu afunguke hapa stress zake tufarijiane

Unajua wakati mwingine stress ni kitu cha kufikirika tu, hakipo. Unweza tulia na ukaanza kuzichambua kwa mtazamo tofauti ukakuta kumbe ni mawazo tu ndio yanakufunga kwenye eneo flani mkuu.
 
Sijalala hapa jirani yangu kaingiza dogodogo.. Kanatoa sauti murua mpaka usingizi umepea.
 
usiku ndiyo mda mzuri wa kuwaza mambo makubwa na kutolea maamuzi mazito kwa sababu kunakuwa kumetulia sana
 
Back
Top Bottom