Kwa Wale Wapenzi Wa Pool Table

Kwa Wale Wapenzi Wa Pool Table

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,312
Kwa wapenzi wa ule mchezo wa Pool Table igeni hii itawasaidia kuboresha mchezo huu!
there_i_fixed_640_01.jpg
 
Kwa style hii lazima ufungwe Brush!
 
Mkuu Ndalo naomba unisaidie kwa kuwa huwa napata tabu sana; hivi mchezo huu huitwa mchezo wa pool table au mchezo wa pool? Mimi huwa nafahamu kuwa ni mchezo wa pool unaochezwa kwenye pool table. Naomba msaada
 
Nauliza swali kwa wachezaji wa pool table, kwa nini katika sheria mpya hakuna two shorts ila kuna two tours?kimebadilika nini?
 
Back
Top Bottom