Kwa wale wapendao exotic restaurants

Kwa wale wapendao exotic restaurants

damian marijani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2010
Posts
695
Reaction score
466
image0059.jpgView attachment 99876image0097.jpgView attachment 99878
image0059.jpgimage00710.jpgimage0097.jpgimage0066.jpgimage0121.jpgimage0154.jpgimage00411.jpg
image0033.jpgimage01013.jpgimage00814.jpgimage00411.jpgimage0154.jpgimage0121.jpgimage0066.jpgimage0097.jpgimage00710.jpgimage0059.jpgimage01312.jpg
Ingekuwa wewe ungechagua kipi?
 
Yee womiiii!!!!! Lazima nfe kwa njaa kama kula ndo huku? Maini ya mbwa tena??????????? hata kwa pilipili haipandi hata kidogo
 
Yaani ukiwa china msosi inabidi iwe samaki mzima wa kuchoma tu! Ukiagiza supu yoyote ujue hujawii kulishwa mende. Ptuuuu!
 
Ndio maaaaaaaaaaaana!
Wachina kwa karate, judo, kongfuu wako fit
 
Sio kufa ila ungepata akili kama wao, kwani huo ugali umekusaidia nini zaidi ya kuwa tegemezi wewe na nchi yako?

umeona eeh. Bila shaka ugali ndio chanzo kikuu cha umasikini wetu! Nchi za wala ugali, zote hoi kwa umaskini.
 
kwani hao ng'e wengi hivo wanatolewa wapi au wanafugwa?
 
Eeeewwwwwwwwwwwwwwwwwww!!!! 😛uke:😛uke:😛uke:
 
Hahah inafika mahali unazoea...kuna vitu hapo nimeviona nimekumbuka mbali sana...unanunua mshikaki wa ng'ombe au kuku, pembeni yake kuna kuwa na mishikaki ya chura, ng'e na wadudu wengineo...

Yaani ukiwa china msosi inabidi iwe samaki mzima wa kuchoma tu! Ukiagiza supu yoyote ujue hujawii kulishwa mende. Ptuuuu!
 
Niliwahi kuona kwenye kipindi cha BBC "Believe it or not," kuwa huko China kuna street vendors wanauza mboo za wanyama, yaani kila aina ya mboo ya mnyama yeyote duniani ili kuboost sexual desires. Niliishiwa nguvu pale nilipoona mboo za nyoka na jongoo zinauzwa kwa bei ya juu na watu wakizigombania. Haki ya nani nikiona mchina shambani kwangu Kibaha nitamuajiri as a shamba boy ili awe anawinda na kula mboo za nyoka wote waliopo pale ili wasizidi kuzaana.
 
Wachina wanakula chochote kinachoruka ispokua ndege na chochote chenye miguu minne ispokua meza lol
 
Back
Top Bottom