Kwa Wale Wapenda Kuvaa Milegezo

Kwa Wale Wapenda Kuvaa Milegezo

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,304
448.jpg
 
Eeeeh,umekuja pazuri sana mdau.huwa napenda kujua hivi hicho kitambaa au leso kuwekwa mfuko wa nyuma halafu imejitokeza nusu huwa inamaanisha nini!!Huwa nawaona vijana wakiweka hivyo ila sijawahi kupata jibu.tujuzane jamani
 
Hii tena si mlegezo,bali ni useng.................................
 
Ikiwa niliacha ziwa la mama bila mikiki, itakuwa hiki kijiti! Bange bange nitazisaliti ili nitoke! Hizo lazima ni babge tu!
 
Bangi bangeni kama uongo ulizeni Mbuzi angekula majani?
 
wanaume wako bize kupandisha suruali,mabinti bize kushusha vitop,dudu gani iko kati?
 
Back
Top Bottom