Kwa wale wapenda kihispaniola tubonge kidogo

gilberto de rico

Senior Member
Feb 7, 2019
167
250
Como se dice ".te amor" end su idioma De nativo---how do you say "I love you" in your native language , me "nakutogile"
 

Cameroan

Member
Mar 30, 2019
19
45
[QUOTmkuu nakufatila sana nami nahitaji kujua hichi kilugha ntakuptaje unifunzeE="gilberto de rico, post: 30340777, member: 537486"]
hola mis amigos ¿
Como estas?

[/QUOTE]
 

Yamakagashi

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
8,683
2,000
Kichwa ni ajabu. Hakuna lugha ya Kihispaniola.
Maana "Hispaniola" (soma zaidi hapa) ni kisiwa katika Bahari ya Karibi. Kwenye kisiwa hiki kuna nchi mbili, moja ni Haiti (wanapoongea Kifaransa au sheng yake) na nyingine ni Jamhuri ya Dominika (wanapoongea Kihispania).
Nahisi ulitaka kuuliza kama kuna watu wanaopenda kuongea nawe "Kihispania" ambayo lugha ya nchi ya Hispania, pamoja na nchi nyingi za Amerika Kusini.
Del el monde Kompiliketisha maisha para bui
 
Top Bottom