Ushauri: Clatous Chota Chama Aende Young Africans Kwa Mkopo

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,588
188,805
Habari Wapenda Soka.

Nawashauri Watani Zangu Simba Sc Maana Naona Wamechanganyikiwa Na Mikiki Mikiki Ya Mashindano Yote.

Wameanza Kuwasimamisha Wachezaji Wao, Na Hiyo Ni Dalili Kama Ambayo Mfa Maji Hakosi Kutapatapa. Na Kutapatapa Kwao Wamemsimamisha Mwamba Wa Lusaka Triple C (Clatous Chota Chama).

Sasa Mimi Nawashauri Vyema Kabisa Kumuweka Nje Ya Uwanja Kwa Muda Usiojulikana Kwa Mchezaji Kama Yule Ni Kuendelea Kuua Kiwango Chake Ambacho Mlikuwa Mkimsujudu Kila Kukicha Pale Msimbazi.

Hivyo Basi Mleteni Young Africans Kwa Mkopo Mwisho Wa Msimu Mje Kumchukua Najua Itawafunza Kidogo Ili Mfahamu Adhabu Mliyompa Iwe Positive Kwa Mchezaji Na Atawasaidia Akirudi.

Watani Mmechanganyika Mmekuwa Kama Mfa Maji Hakosi Kutapatapa.

Nawasilisha Kwenu Wanazengo Na Wapenda Soka Wote.
 
Chama aongee na Manara, hao ni ma best sana.

Manara naye aseme na GSM
 
Atacheza namba ya nani, kwa timu tuliyo nayo hata akikaa shabiki nafasi yake bado tunashinda hatutaki usumbufu kama wa Fei, bakini nae nyie muhangaike nae. Naona Chama anabishana na mashabiki huko Insta,sijui mmemkopa hamjamlipa hela yake.
 
Habari Wapenda Soka.

Nawashauri Watani Zangu Simba Sc Maana Naona Wamechanganyikiwa Na Mikiki Mikiki Ya Mashindano Yote.

Wameanza Kuwasimamisha Wachezaji Wao, Na Hiyo Ni Dalili Kama Ambayo Mfa Maji Hakosi Kutapatapa. Na Kutapatapa Kwao Wamemsimamisha Mwamba Wa Lusaka Triple C (Clatous Chota Chama).

Sasa Mimi Nawashauri Vyema Kabisa Kumuweka Nje Ya Uwanja Kwa Muda Usiojulikana Kwa Mchezaji Kama Yule Ni Kuendelea Kuua Kiwango Chake Ambacho Mlikuwa Mkimsujudu Kila Kukicha Pale Msimbazi.

Hivyo Basi Mleteni Young Africans Kwa Mkopo Mwisho Wa Msimu Mje Kumchukua Najua Itawafunza Kidogo Ili Mfahamu Adhabu Mliyompa Iwe Positive Kwa Mchezaji Na Atawasaidia Akirudi.

Watani Mmechanganyika Mmekuwa Kama Mfa Maji Hakosi Kutapatapa.

Nawasilisha Kwenu Wanazengo Na Wapenda Soka Wote.
Chama mkataba wake unaisha jan hapo
 
Mzee Chama hawezi falsafa ya Yanga...mpira wa Yanga ni wa speed kubwa kuliko uchezaji wa Mzee chama
 
Atacheza namba ipi? Atamuweka ki au pacome benchi?

Aende namungo huko kuna uhitaji mkubwa
 
Itakuwa ni ile rushwa waliopewa na yanga ili kumruhusu yanga kufunga magoli..mbona lipo wazi walipokea pesa bdao kuna wengine tutaendelea kuwapunguza
 
Habari Wapenda Soka.

Nawashauri Watani Zangu Simba Sc Maana Naona Wamechanganyikiwa Na Mikiki Mikiki Ya Mashindano Yote.

Wameanza Kuwasimamisha Wachezaji Wao, Na Hiyo Ni Dalili Kama Ambayo Mfa Maji Hakosi Kutapatapa. Na Kutapatapa Kwao Wamemsimamisha Mwamba Wa Lusaka Triple C (Clatous Chota Chama).

Sasa Mimi Nawashauri Vyema Kabisa Kumuweka Nje Ya Uwanja Kwa Muda Usiojulikana Kwa Mchezaji Kama Yule Ni Kuendelea Kuua Kiwango Chake Ambacho Mlikuwa Mkimsujudu Kila Kukicha Pale Msimbazi.

Hivyo Basi Mleteni Young Africans Kwa Mkopo Mwisho Wa Msimu Mje Kumchukua Najua Itawafunza Kidogo Ili Mfahamu Adhabu Mliyompa Iwe Positive Kwa Mchezaji Na Atawasaidia Akirudi.

Watani Mmechanganyika Mmekuwa Kama Mfa Maji Hakosi Kutapatapa.

Nawasilisha Kwenu Wanazengo Na Wapenda Soka Wote.
usiingie mkenge,chama hajaonywa ni mind game
 
Atacheza nafasi ya nani?bora akae tu hukohuko...huku benchi litamuhusu
 
Back
Top Bottom