Kwa wale wanywaji wenzangu, Hennessy cognac si mchezo

Kwa wale wanywaji wenzangu, Hennessy cognac si mchezo

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,314
Wakuu, hii kinywaji sina uwezo wa kuinunua ila nimekutana nayo kwenye sherehe fulani hapa,niemeipenda sana,kama kuna zaidi naomba tujuzeni kupitia jukwaa hili.
 
wakuu hii kinywaji sina uwezo wa kuinunua ila nimekutana nayo kwenye sherehe fulani hapa,niemeipenda sana,kama kuna zaidi naomba tujuzeni kupitia jukwaa hili.

badala ya kuwaza maendeleo unawaza pombe tu
 
sasa unakoelekea uta gate crash sherehe za wenyewe kisa Hennessy. Bora uwe unakunywa drink yako ya siku zote.
 
Mkuu hiyo kitu hata Jayz amewahi kuisifia kwenye moja ya nyimbo zake,Ni moja kati ya pombe classic kabisa.
 
Wakuu, hii kinywaji sina uwezo wa kuinunua ila nimekutana nayo kwenye sherehe fulani hapa,niemeipenda sana,kama kuna zaidi naomba tujuzeni kupitia jukwaa hili.

we ni ke au me?
 
siamini hata wewe unaweza kusifia ujinga!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom