MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,167
Mkuu hiyo ni Zamani sana Njia ya Kukusanya taarifa; Kwa sasa haitumiki sana hiyo;Mkuu kwani hujawahi kisikia UWT kujifanya vichaa?
Mkuu bora na wewe umeona hili; Yaan ni hoja za Vibanda vya kahawa kabisa;hoja ya reli ni dhaifu sana