Kwa wale wanaopenda muziki kwenye gari, tukutane hapa

Mziki wa bei rahisi ambao unakua na option ya USB shillingi ngapi? Napendelea mziki wa kawaida sio ule wa sauti ya juu.
Gari ni Suzuki Swift na Mitsubishi Double Cabin.
Naomba bei kwa Arusha tafadhali
Mimi nilifunga spika ndogo na tweeter kwa 150,000, naenjoy mziki mzuri wa kistaarabu
 
Baada ya muanzisha uzi kukimbia naona wadau wakakimbia. Wapenda mziki tupo wengi
Naskiliza old school hapa the Luniz-5 On It inakita vibaya sana kwenye woofer, nawaza itakuwaje siku huu mziki ukiwa unatokea kwenye SUV yangu moja matata huku imekula Dubs za maana! American Style!!! Asee mungu anijalie uhai tu maana pesa naimani zintafutwa tu hadi zijae
 
Ukitaka kuuza toa mziki. Haha
 
Watembea kwa miguu humu hamuusiki............hata wale wa boda boda.......hahahahaa
 
Kuna jamaa yangu moja nimuite lofa kwanza: aliazima gari baadae akaniambia eti tubadilishane mziki, jibu nililompa nadhani anajua mwenyewe uzito wake
Yani atoe mziki wako aweke kwake ama alimaanisha nini huyo bwana lofa
 
mimi sijui ujana au uzee,hata sijielewi nipo kundi gani maana hakuna mziki naopenda iwe wa hapa au wa nje sina mwanamuziki hata mmoja nampenda duniani,hebu niambie wajuzi na mimi ntakuwa na tatizo gani?
Umejaribu ngoma za kabila lenu? Maana huo nao muziki
 
Back
Top Bottom