Habari,nimejaribu kutafuta nyuz ambayo inaelezea utaalam wa kufunga mziki kwenye gari sijaona,hivyo nikaona sio mbaya kama nitafungua nyuzi humu,hii maada ni maalumu kwa wanaopenda mziki mkubwa na loudest pamoja na bass ya kutosha kwenye gari,
Pia kwa wale ambao wanapenda mziki wa saizi ya kati pamoja na stereo nzuri,bass ya wastan,pia waweza uliza ama kushare ufahamu ipi ni woofer nzur ktk gari,au unaweza kuuliza kuhusu radio za gari pamoja na ubora,nitashauri nachokielewa lkn najua wapo wengine watakua wanafaham zaidi ivyo tutasaidiana,,
Pia ukitaka ushauri jinsi ya kupamba gari yako kwa cool stiker pia tunaweza kushauriana,au nini uweke kubadiri mwonekano wa gari yako kua bora na nazifu zaidi,pamoja na rims ya kuendana na gari yako ikawa na mwonekano mzur zaid