Kwa wale wanaopenda muziki kwenye gari, tukutane hapa

uneona sasa mkuu, hiyo spika rela wattage ni 350, amp ni 400@4ohm na 800w @2ohms . sasa hapo hiyo amp spika tu ni kubwa kwa maana iko na 350 watts, na hapo ume bridge, yaani umeamua kuitumia kama monoblock amp, ukifinga chanel zote 4 utapata 70w tu, hyo uwezo wa kupata bass ya mkito sahau. ushauri wangu nunua amp kubwa yenye uwezo, au spika za midi unga kwenye redio halafu bass uitoe kwenye output line iiingie kwenye booster, na hiyo booster/ amp itumike kusukuma bass tu

kuna mdau pia hapo juu alishauri kama unavyoshauri wewe, kwamba ili kupata mziki mzito wenye kishindo heavy inanibidi kuweka AMP yenye power kubwa kuzidi speaker, na niweke EQUALIZER. Kuhusu EQ akapendekeza brand ya BOSCHMAN.

So kuhusu AMP, unashauri niweke ya Watts ngapi? na brand gani ni the best? EQ nitaweka ya Boschman, na speaker nitaendelea nayo hii hii iliyopo Pioneer watts 350.
 
Mi ni mtu wa old school hasa Hiphop na RnBs za wayback 1990-2004 ndio naishi sana katika mziki wa humo,
1.2 Pac- California love
2.Notorious - Big poppa
3.Luniz - 5 On it
4.Lost Boyz - Crazy World
5.Mc Lyte - Cold Rock the party
6.Naughty by Nature - Craziest (Crazy C Remix)
7.Mr Chicks - Renee
8.Snoop Dogg - Whats my name
9.Dr.Dre - Keep their heads ringing
10.Craig Mack - Flava in ya ear

Hayo mawe ambayo nikiya blow mtaa unatambua uongozi hahahah!!!
Ww mtu mbadi sanaa hii list ni balaa
 
Mi ni mtu wa old school hasa Hiphop na RnBs za wayback 1990-2004 ndio naishi sana katika mziki wa humo,
1.2 Pac- California love
2.Notorious - Big poppa
3.Luniz - 5 On it
4.Lost Boyz - Crazy World
5.Mc Lyte - Cold Rock the party
6.Naughty by Nature - Craziest (Crazy C Remix)
7.Mr Chicks - Renee
8.Snoop Dogg - Whats my name
9.Dr.Dre - Keep their heads ringing
10.Craig Mack - Flava in ya ear

Hayo mawe ambayo nikiya blow mtaa unatambua uongozi hahahah!!!
Mwanangu umetisha, nakugundika manyota kibao ya kiprofeshino na heshima. Unajua kuzipatia. Ila miaka ya tisini maproducer na wasanii walikuwa serious sana. Katika nyimbo 100 zinazotoka basi 99 ni hit songs. Aisee
 
Tafuta Pioneer bass speaker OG, ukipata ya 1000w double coil hio kwisha kazi. Mids tafta za Soundlink, Booster/Amplifier ukipata JEC ya walau watts 600 inasongesha vyema bass.
Tweeters za Sony/Pioneer, Equalizer tafuta ya Boschman.

Hapo package ready to make your neighbours Mad na vyote kwa bongo vitafit ndani ya hio budget.
sasa hvi kuna pioneer 3020pro kinu kinafua 1800wrms hii mahususi kuchu na vinu kma deAf bonce machete na apocalypse
 
Back
Top Bottom