kwa wale wanaopenda kata k

kwa wale wanaopenda kata k

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
733802_513995085352672_758794568_n.jpg
 
Nakaa nikafikiria sana sijui kwanini vijana wa sasa wanaiga mienendo isiokuwa na manufaa yoyote kama KATA K!!kisha wakitembea na mikono mifukoni kuzuia suruali isidondoke shida yote ya nini jama usoivaa kiunoni ikatuliaaa!!Sijui wanamuonesha nani hizo boxer sijui kaptula zao honestly i think its very immatured and not cool at all!!
 
kuna girls wakivaa sketi,khanga au suruali wanavaa kata k
 
Wewe ni mhanga mmojawapo nini?Hii ni tabia ya wanaume kwa asilimia kubwa!!Ni aghalabu sana umkute msichana kavaa kama usemavyo na kwanini kanga ivaliwe KATA K anaenda kucheza ngoma ya mdundiko au?
 
mi si mhanga ila naona vijana wanapenda kuiga waonekane tofauti
 
shule niliyosoma high school wanafunz wote manigga walikuwa wanateremsha suruali nikiwemo kasoro wazungu tu.

niliona sawa tu kwa wakat huo ila kwa sasa siwez kuteremsha. najishangaa kwa nini nilikuwa navaa kata k.
 
Hukujua tu ulikuwa unakaribisha mabasha!
Ndo maana halisi ya kata K!
 
Wewe ni mhanga mmojawapo nini?Hii ni tabia ya wanaume kwa asilimia kubwa!!Ni aghalabu sana umkute msichana kavaa kama usemavyo na kwanini kanga ivaliwe KATA K anaenda kucheza ngoma ya mdundiko au?
Wanawake wakivaa zile model zao za jinsi halafu wakaweka KATA K, huwa wananitoa udenda sana.
 
Kisha nitanufaika na nini?Mimi msichana wa kiislam sivai mavazi unayoyaongelea navaa nguo za heshima!!My body is a my temple not for everybody!!
hongera sana wangu maana wapo wengi naowafahamu ndo zao na dini ndo hivo but inaonekana ni jinsi tu mtu alivyo na msimamo na imani na kujiheshimu pia
 
Back
Top Bottom