dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,154
- 5,634
Habarini waungwana
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna biashara moja ivi nilikuwa naifikiria kuifanya sana uzoefu nayo sina, kwahiyo nimeamua kuleta huu mjadala kwa wataalam ili mnipe mbinu na njia stahiki za kuweza kufikia hilo lengo ninalolikusudia. Biasha yenyewe ni hii , nataka niwe naenda kuchukua nguo + spea za pikipiki ama hardware. Kwa wale waliowahi fika Dubai ama wanaendaga kuchukua bidhaa zao huko wanipe mlolongo wa kupata Visa, gharama za nauli kwenda na kurudi, chakula pamoja na malazi, tafadhali ifafanue kwa hela ya kitanzania.
Usiriyasi unahitajika kwa kweli katika hili.
Young
Dimaa.