Kwa wale waliowahi kujilipua nje ya nchi karibuni mnipe uzoefu.

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,012
5,418
Habarini waungwana

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna biashara moja ivi nilikuwa naifikiria kuifanya sana uzoefu nayo sina, kwahiyo nimeamua kuleta huu mjadala kwa wataalam ili mnipe mbinu na njia stahiki za kuweza kufikia hilo lengo ninalolikusudia. Biasha yenyewe ni hii , nataka niwe naenda kuchukua nguo + spea za pikipiki ama hardware. Kwa wale waliowahi fika Dubai ama wanaendaga kuchukua bidhaa zao huko wanipe mlolongo wa kupata Visa, gharama za nauli kwenda na kurudi, chakula pamoja na malazi, tafadhali ifafanue kwa hela ya kitanzania.

Usiriyasi unahitajika kwa kweli katika hili.

Young

Dimaa.
 
Kuhusu nauli, kwa ndege ya Dubai One kwenda na kurudi ni kama sh 850, 000/=. Lakini bei inategemea msimu.
 
Mkuu hebu naomba nifafanulie vizuri kuhusu malazi chakula, malazi , gharama za kufunga mzigo ambao utanilipa vizuri , nauli ya mzigo na namna ya kupata Visa.
 
Pata mtu anayeenda huko then get experience, mambo ya visa Na nauli easy hata Google anaweza kukupa suluhu.
 
Kuhusu nauli, kwa ndege ya Dubai One kwenda na kurudi ni kama sh 850, 000/=. Lakini bei inategemea msimu.
Mkuu hebu naomba nifafanulie vizuri kuhusu malazi chakula, malazi , gharama za kufunga mzigo ambao utanilipa vizuri , nauli ya mzigo na namna ya kupata Visa.
Jadilini hapahapa msiende Pm maana nasi wengine tuna ndoto kama zenu tu
 
Hata za huku kwa M7 unataka ? Make niko hapa Murongo -Kikagati Border naelekea Mbalala city kwa kilikizo kidgo
 
Back
Top Bottom