Kwa wale waliosoma Kidugala Lutheran Seminary 1994

Kwa wale waliosoma Kidugala Lutheran Seminary 1994

Hahahaha Zinduna nimeipenda hiyo redio kaseti hapo pembeni.
Kweli una macho makali maana hata miye nilikuwa natumbua macho na awali sikujua ilikuwa ya nini kumbe wenzetu walikuwa wako studio ivoooo!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Hivi cacico uko jukwaa gani siku hizi
Sikuoni kabisa aise
nakumiss mpaka naugua
mwalimu wangu gfsonwin nae siku hizi kawa bidhaa adimu
Nitawatafuta niwachape nyie :eyebrows::eyebrows::eyebrows:
Hao wanataka kuongeza uzazi weshahamia jukwaa la chini kuleeee
 
Back
Top Bottom