ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
HABARINI ZENU MABESTITO
NIMEONA NIWAPE KIDOGO HIKI KITU NIMEKITOA KULE NAMI NIKAONA
NISHARE NANYI KAMA MTAKIPENDA BASI INGINENI MJIFUNZE HAPA
1. USIMWAMINI MTU ULIYEMJUA UKUBWANI.
2.ANAYEJIFANYA ANAKUPENDA SANA CHUNGUZA UPENDO HUO KWA MAKINI.
3.ANAYEKULETEA HABARI FULANI KASEMA HIVI FIKIRIA YEYE ALISEMA NINI.
4.USITEGEMEE MTU AKATUNZA SIRI YAKO ILIYOKUSHINDA WEWE BINAFSI KUITUNZA.
5.MUOMBE MUNGU SANA ILI AKUPE MACHO YA ROHONI UMJUE MWEMA NA MBAYA WAKO.
6. KUMJUA ADUI NI KWA UWEZO WA MUNGU TU.
7. ANAYEKUPENDA KWA DHATI UTAMUONA WAKATI WA SHIDA ZAKO.
8. HAKUNA ANAYEFURAHIA MAFANIKIO YAKO ZAIDI YA MAMA YAKO MZAZI AU BABA YAKO MZAZI.
9. MTHAMINI NA KUMJALI ALIYECHANGIA KUFIKA HAPO ULIPO.
10. MPENDE MTU KWA MATENDO SIO MANENO.
MABESTITO HAYA MAMBO YALINIVUTIA NDO MAANA NIKAONA NANYI NIWAPE KIDOGO TUJIFUNZE PAMOJA
CIAO
CC: Mamndenyi; Mtambuzi, Young Master, charminglady, Passion Lady. Lady doctor, FirstLady1, amu, Heaven on Earth, Paloma, sister, KakaKiiza, Asprin, stevoh, mwallu, MankaM. miss chagga, Kipaji Halisi, Kongosho, Asnam, marejesho, PakaJimmy, Arushaone (nimekumiss sana shem) , Nicas Mtei, @C6, Preta (sister wa ukweli), Madame B, (uko wapi bestito), Slave, utafiti, Chabruma, agosti 8, Ntuzu, muuza ubuyu, Pasco, na marafiki zangu wote karibuni nawatakia mchana mwema.

Last edited by a moderator: